0655048302Kwa three phase unaweza kufika ofisi inayohudumia ujaze fomumili upewe access ya kuona online matumizi yako aidha unaweza kutupatia namba yakonya mita na ya simu tukujulishe hilo
SHIRIKA LA UMEME TANZANIAUkweli ni kwamba kuna mgao wa umeme ila Tanesco hamtaki kusema kweli, inakera, inaudhi na inauma umeme kuwa mafungu mafungu na joto hili la Dar.
SHIRIKA LA UMEME TANZANIASitaki kujua kama ni kwa wote au ni Kigamboni pekee au Dar es salaam yote, kama ni huu mtaa wangu pekee au ni Kigamboni yote, but kiukweli hii service yenu inaboa kupitiliza. Tuambieni kama umeme tutakuwa tunapata kila siku kuanzia jioni saa 12 au saa moja hadi asubuhi saa tatu au saa nne na mseme kabisa kwamba hiyo ndio ratiba ya kudumu.
Nafkiri pengine viongozi mnaohusika au kusimamia kwa kuwa haukatiki majumbani mwenu au kwenye site zenu basi hamyaoni haya, mnatutia umaskini usio wa lazima vitu vinaozea kwenye majokofu kwa kushinda kutwa nzima bila umeme, kwani hamjui kuwa wengine biashara zao umeme ndio kila kitu na mnazifahamu mnataka ziwe zinafunguliwa jioni na kufungwa asubuhi?
Matengenezo gani kila siku hayaishi? Yani inafikia kipindi umeme ukirudi basi mtaa mzima unapiga yowe za shangwe na madebe kabisa as if wameona mvua ambayo ilikuwa imekata kwa miaka mitano, Hatakama kuna moja mbili tatu tangazeni basi tunashtukia tu umeme umekata, utafikiri ni kitu tunachopewa bure
Sasa kituko kingine kama leo umekatika saa nne umerudi saa nne nasu saa tano kasoro ukakatika tena mpaka saa moja jioni umerudi saa moja na nusu baada ya dk 10 ukakatika tena ukaja kurudi saa mbili tena, mtatuunguzia vitu nyie watu, maisha yenyewe yako wapi ya kununua vitu vya electronics mara mbili mbili na cha mwisho weekend ndo kabisa kuucha umeme bila kukata hamjisikii vizuri, sijui ina nini nanyie hiyo weekend.
Badilikeni Aisee kama wahusika mnapita humu na kuyaona haya yafanyieni kazi.
Ulipotoa taarifa ofisi ya eneo lako uliambiwaje?
Walisema Bajeti ya huku bado haijatimia...
Mtapatiwa huduma ya umeme pale mradi wetu utakapofika eneo hilo mpendwa mtejaTanesco kuna sehemu inaitwa mail 35 mbele ya misugusugu kibaha pwani nyumba zimeshakuwa nyingi ila huduma ya umeme hamna yaani watu wanaishia kununua visolar uchwara mnawasaidiaje wakazi wa hapo
SHIRIKA LA UMEME TANZANIAKweli mkuu umevurugwa sana katika hili, kiasi naweza liona hilo katika uandishi wako.
Sema nini, ujumbe wako uwafikie hawa jamaa maana makatizo ya umeme kiukweli yamezidi sana, nadhani mojawapo ya vitu vinavyokwamisha/vitakavyokwamisha maendeleo na uanzishwaji wa viwanda Tanzania ni Upatikanaji wa Umeme wa Uhakika.
Mtapatiwa huduma ya umeme pale mradi wetu utakapofika eneo hilo mpendwa mteja
Polee [emoji36]TANESCO this is too much jamani jana tangu asubuhi mpaka sasa hakukua na umeme... leo pia kuanzia asubuhi mpaka muda huu. hii nchi ya viwanda inakujaje kweli??? wenye biashara zinategemea umeme wanaishije kwa hii kata umeme?? mtu unasema weekend upumzike nyumbani ukiamka tu hakuna umeme.Last weekend ilikua hivyo pia.. achana na siku za katikati ya week ambayo kwa upande wangu nakua katika mihangaiko ya maisha
INAKERA SAAANA