TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri
Meneja wa Nyamagana ama hafahamu au ana maslahi katika kinachoendelea kwenye mradi wa REA maeneo ya Bulale na Kigoto kata ya Buhongwa, Nyamagana.
Kuna upendeleo, kujuana na rushwa inayoendelea katika mradi huo chini ya surveyor, Oswald akishirikiana na kijana aitwaye Khani ambao wamekuwa wakigawa umeme kwa upendeleo.
Katika eneo LA tarazo wawili hawa wanaunga umeme kwa watu wao ambao huenda wanapokea rushwa, kwani haieleweki iweje nyumba kadhaa ambazo wenyewe wamekamilisha taratibu, zirukwe na kwenda kufunga katika zile zilizoko ndani.
Inawezekana meneja anahusika na hili kwani haiingii akilini, akashindwa kuwaita waliofunga umeme na kuwasilisha fomu ofisini kwake na badala yake, wachache wamekuwa wakiitwa na kupewa control number kwa ajili ya kulipia na ukiuuliza utapewa jibu kuwa " tulitoa maji ya kunywa"
Binafsi nimefika ofisini kwake kumweleza juu ya baadhi kufungiwa umeme na wengineckurukwa lakini naona suala hili linaendelea.
 
Je unaweza kutusaidia ushahidi wa moja kwa moja ya rushwa iliyotolewa na ilitolewaje? Tutumie hata inbox. Onyesha namba yako ya simu pia kwa ufatiliaji zaidi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ushahidi kuwa rushwa inatembea? Kwa maana ya kiasi na kilitolewa lini na wapi hili litakuwa gumu kwa sasa, ingawa haiondoi ukweli huo. Mazingira yanatosha kueleza hivyo.
Unahitaji ushahidi gani zaidi ya kuona kwa mfano, hapa tarazo nyumba tatu zimefungwa umeme kati ya zaidi ya 40 zilizopo huku hao watajwa wakionekana Jana jioni katika nyumba kadhaa wakifabya hiyo inayiotwa survey huku wengine wakiachwa.
Kuna watatu, wamelipia jumanne, lakini ni mmoja ndiye aliyeungiwa jumatano, huku wengine mpaka sasa hawajaungiwa.
Kuhusu namba, nasikitika kwa sasa haitowezekana, Ila meneja anafahamu kwani tumefika kwake tukiwa na diwani wa eneo letu.
 
Wewe umelipia kwa jina gani? Tarehe ngapi? Je ulifikia ofisini ukajibiwa nini? Namba yako ya simu.sio rahisi kwa sisi kusema au kukubali usemacho bila kusikiliza upande wa pili na kusikiliza wateja wengine kwa kuwa tuhuma zako ni za ujumla hazipo moja kwa moja kama wewe ulitoa au uliona mtu akitoa.Tupatie taarifa tulizokumba kwa huduma stahiki

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Je unaweza kutusaidia ushahidi wa moja kwa moja ya rushwa iliyotolewa na ilitolewaje? Tutumie hata inbox. Onyesha namba yako ya simu pia kwa ufatiliaji zaidi

Sent using Jamii Forums mobile app
Hilo mlifanyie kazi siyo kudai ushahidi mazingira yanadhihirisha Kuna kitu hakiko sawa huku mikoani baadhi ya watumishi wenu wanaona kuunganishiwa huduma ni Kama hisani.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu Mhakiki.
Sioni mantiki ya kujificha kwenye kichaka cha ushahidi wakati nimejitahidi kuchora picha ya mambo yalivyo.
Baashi ya watumishi wa shirika hili kama walivyo wengi serikalini, hufikiri wanatoa hisani kwa kazi walizoomba kuzifanya na kuwageuza wateja wao kama watwana.
Sielewi kama kuna kiwango kimewekwa kwa kila meneja kuhakikisha amefungia umeme kwa wateja wangapi kila mwezi, pengine ingewasaidia kuongeza juhudi katika utekelezaji wa majukumu yao.
 
Tafadhali tambua kutelekeza jukumu kunae dana na kupata taarifa kamili hauwezi kwenda hata bank ukalalamika bila kuonyesha account namba au taarifa zinazoweza kuwasaidia kuona taarifa za accunt yako na sisi ndicho tunachoomba

Sent using Jamii Forums mobile app
 
NDUGU WATEJA,
KAMA UKIRIPOTI TATIZO LA UMEME, TUNAOMBA UTUME INBOX AU PRIVATE MESEJI NAMBA YAKO YA SIMU. HII KUTOKANA NA WATU AMBAO SIO WAAMINIFU WAMEKUWA WAKICHUKUA HIZO NAMBA NA KUTAPELI WATU WAKIJIFANYA TANESCO

TANESCO Makao Makuu| 0768985100|customer.service@tanesco.co.tz
 
Kuna tabia imebuka Mbezi mwisho mpka Malamba mawili mnakata umeme a kuurudisha kila dakika, wiki sasa, ajabu hakuna taarifa yoyote. Kuazia usiku wa saa moja na nusu, mpaka saa nne. Mnasababisha hasara ya kuungua kwa vitu. Tatizo Nini jamani?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tafadhali tambua kutelekeza jukumu kunae dana na kupata taarifa kamili hauwezi kwenda hata bank ukalalamika bila kuonyesha account namba au taarifa zinazoweza kuwasaidia kuona taarifa za accunt yako na sisi ndicho tunachoomba

Sent using Jamii Forums mobile app
Si kweli mungeenda mkaangalie kuliko kutoa majibu ya juu juu huku mikoani hususani liliko toka hili lalamiko Kuna madudu mengi na wafanyakazi walio WENGI wanaona wanatoa hisani na sio wajibu wao

Tusaidie umeomba umeme kwa jina gani na namba yako ya simu ili tufatulie swala lako kukua ulikwamia wapi tuma hata inbox tukuhudumie

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi ni Mteka niliwekewa mita mwaka jana nilipewa units kadhaa japo sikumbuki ni ngapi, hivi sasa umeme ule umeisha kila nikinunua Naambiwa sijui nina deni, hilo deni limetoka wapi,na je ukiwekewa mita offer huwa anapewa units ngapi maana sikumbuki hata kupewa units ngapi pia nilipewa kadi fulani kama ya ATM zile kadi matumizi yake ni nini.Ahsante
 
Huduma ya matengenezo na marekebisho ya Tanesco kwa Mtoni kijichi na Mgeninani mnakwama wapi?
Habari za majukumu.
Niomba kujuzwa kwanini umeme huku kwetu Kati ya Mgeninani na mtoni kijichi hauna formula ya kuwaka kwa standard za kimataofa,maana toka mwezi wa March,2020 hadi leo 26 May inaonekana kama mnao watuma huku hawatatui tatizo au hawana utaalam wa kutosha.Maana leo peke yake umeme umezima na kuwaka dakika chache (dk.5 ama pungufu na kuzima) zaidi ya mara 8 hata hivi sasa saa 8:00 umewaka tena na kuzima saa 8:02 mnakwama wapi?
 
NDUGU WATEJA,
KAMA UKIRIPOTI TATIZO LA UMEME, TUNAOMBA UTUME INBOX AU PRIVATE MESEJI NAMBA YAKO YA SIMU. HII KUTOKANA NA WATU AMBAO SIO WAAMINIFU WAMEKUWA WAKICHUKUA HIZO NAMBA NA KUTAPELI WATU WAKIJIFANYA TANESCO

TANESCO Makao Makuu| 0768985100|customer.service@tanesco.co.tz
Kuna mtu alinirespond kwenye changamoto yangu na kunipromis kuwa leo jumanne watu wa Tanesco (Surveyor) wataenda site niliyomuelekeza kusurvey. Lakini mpaka dakika hii sijapigiwa simu kama wamefika au la, na nampigia simu inaonesha call forwarding then haiconnect. Sasa najiuliza ndo hao matapeli mnasema au. Maana hakunipa jina lake.

Umepigiwa kwa namba gani? Upo wilaya gani? Eneo gani na namba yako ya simu tafadhali

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huduma ya matengenezo na marekebisho ya Tanesco kwa Mtoni kijichi na Mgeninani mnakwama wapi?
Habari za majukumu.
Niomba kujuzwa kwanini umeme huku kwetu Kati ya Mgeninani na mtoni kijichi hauna formula ya kuwaka kwa standard za kimataofa,maana toka mwezi wa March,2020 hadi leo 26 May inaonekana kama mnao watuma huku hawatatui tatizo au hawana utaalam wa kutosha.Maana leo peke yake umeme umezima na kuwaka dakika chache (dk.5 ama pungufu na kuzima) zaidi ya mara 8 hata hivi sasa saa 8:00 umewaka tena na kuzima saa 8:02 mnakwama wapi?
Tafadhali onyesha mawasiliani yako kwa ufatuliaji na hatua zaidi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom