DONARD MUSIMU
Member
- Jul 12, 2015
- 62
- 35
Asante kwa kujibu haraka,nimepata changamoto baada ya surveyor kumaliza kazi yake nilienda ofisi ya Meneja wilaya ya Urambo kufuatilia ili nifanye malipo akasema kuwa walikuwa bado hawatapewa mwongozo wa kuunganisha Umeme kwa wateja kufuatia tamko la Waziri Kalemani pamoja na waraka wa MD wa kuwaelekeza kuwa wateja wote tufungiwe umeme kwa 27,000.Je umepata changamoto wapi? Umeomba umeme kwa jina gani? Wilaya gani na namba ya simu tafadhali.
Kwanza akasema Mameneja wote walihoji huo waraka haujafafanua ni mteja wa kuanzia nguzo ngapi au ni mita ngapi mpaka mita ngapi mteja anaruhusiwa kuwekewa kwa gharama ya shilingi 27,000!
Kwahiyo walikuwa wanasubiri ufafanuzi akawa anahisi labda ufafanuzi utatolewa tarehe 1 Julai 2021 ila aligusia kuwa wameambiwa kuwa ni mteja wa kuanzia nguzo moja mpaka nane ndiyo wanaruhusiwa kuunganishwa kwa shilingi 27,000 ila waraka wa kuelekeza bado.
Pili amemwambia surveyor asiendelee na wateja kuwaandikia walipe mpaka huo waraka wa mwongozo utoke anahisi labda tarehe moja Julai 2021 unaweza kutoka.akasema kuna zaidi ya form 100 ameziweka pending kwanza akisubiri mwongozo huo.
Jina nililotumia kwenye Form ni Tunkumbukage Mwamunyage Mabatini, Urambo namba yangu ya simu ni 0623644349.