Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dodoma sehemu gani?!Tanesco kuna shida gani watu wamelipia ili wapate umeme toka mwezi wa Tano huku Dodoma!?
Ni Siku ya Pili Sasa Ninalala Giza na Kituo Cha Tanesco Mombo hakuna Wafanyakazi wa Emergency.....!...Ninasikitika Sana kwamba Jana Jumapili nimenunua Umeme wa Shilingi Alfu SITA (6,000/=) hapa Mombo, Korogwe ili kuweka katika Luku yangu ambazo ni zile za Kimashine Cha Mkononi lakini kimekataa kuingiza umeme huo.
Nimehangaika kutoka saa 10 alasiri Kwa kupiga Namba Zote Tatu za Dharura za Mkoa wa Tanga ambazo mmeziweka humu JF.
Mbili zimefungwa na Moja ilikuwa Bize saa Zote. Nikajiuliza Sana hizo mbili mmeziweka za Nini, wakati hamjazilipia na zimekatwa !
Hio Moja iliyokuwa Bize saa zote kwenye saa Mbili Usiku na pamoja na kukuambia aliyenijibu kuwa Niko tayari kuleta token zangu Ofini ili aniwekee maana nilikuwa na Mgonjwa na isingekuwa jambo Zuri kulala na Giza, Nikashangaa Sana Mhusika aliponiambia Kituo Cha Mombo Siku za Jumapili kinafungwa saa Moja Usiku na sitapata Huduma yoyote Hadi Jumatatu.
Kwa hiyo nikiwa Hatua chache TU kutoka Ofisi yenu ya Tanesco Mombo, nimelala Giza na Tanesco imeshindwa Kunipa Msaada pamoja na Kuwa na Token! !
Mpaka saa TISA NA ROBO HII USIKU NIANDIKAPO UJUMBE HUU NIKO GIZANI I NA MGONJWA WANGU ANASUMBULIWA NA MWANGA HAFIFU WA MISHUMAA AMBAO NIMELAZIMIKA KUINUNUA TOKA JANA USIKU, UNAMUADHIRI MGONJWA WANGU.
NAULIZA TANESCO, IMEKAAJE HII ???
Namba yangu ni Vodacom 0754 340606
3o64528 Imenibidi Michele TU Kwa Uchungu.Ni Siku ya Pili Sasa Ninalala Giza na Kituo Cha Tanesco Mombo hakuna Wafanyakazi wa Emergency.....!
Wapi zimevunjika mkuuKwa nini hizo nguzo zenu za concrete mlizikubali ili hali hazina nondo kwa hiyo kwenye tension zinafeli na kupelekea kuvunjika hovyo je wahandisi wenu wamechukua hatua gani
Ongeza salio. Kuna deni la unit 10 za mwanzoHabari TANESCO. Kita mpya inagoma kununua LUKU. Shida inaweza kuwa nini? Tumejaribu kwa voda na tigo imekataa
Noted, Hui ni kweli kabisa.KIUKWELI TANESCO MMEKUWA NI MOJA YA SHIRIKA AMBALO LINAWAFANYA BAADHI YA WATANZANIA KUISHI KWA MAUMIVU NA UCHONGANISHI BAINA YA JIRANI NA JIRANI. KWA MFANO MTU ANAHITAJI HUDUMA YA UMEME HALAFU LABDA NGUZO ZIPO MBALI NA JENGO LAKE ITAHITAJIKA ANUNUE NGUZO KUTOKA TANESCO KUANZIA MOJA HADI MBILI. KUMBUKA HUYU MTEJA ATATOA KIASI HICHO CHA PESA ILI APATE HUDUMA LABDA ENEO HILO BADO KUNA WENGINE HAWAJAFIKIA HATUA YA KUWEKA UMEME. NA HUWEZI KUMWAMBIA JIRANI ACHANGIE NGUZO NA WAKATI WA YEYE BADO HAJAJIPANGA KUTOA HIYO PESA. SASA MTEJA ANALIPIA KIASI ALICHOAMBIA THEN ANALETEWA HUDUMA. SASA TATIZO LINAANZA HAPA. HAWA AMBAO HAWACHANGIA CHOCHOTE KWENYE HIZO NGUZO UTASHANGAA WANAONGANISHIWA BILA GHARAMA YEYOTE YA NGUZO. NA CHA KUSHANGAZA ZAIDI UKIULIZA UNAAMBIWA NGUZO NI MALI YA TANESCO, KIUKWELI HILI NI TATIZO. KWA USHAURI WANGU MDOGO TU TANESCO WNGEFANYA ILI KUONDOA CHUKI NA KUUMIZANA BAADHI JIRNI NA JIRANI WANGETENEZA MFUMO KUWA ILI UPEWE HUDUMA YA UMEME KUPITIA NGUZO YA JIRANI ALIYOCHANGIA NI VYEMA UOMBE RIDHAA YA BARUA KUTOKA KWA JIRANI YAKO AIDHA KWA KUCHANGIA ROBO YA PESA ALIYOTOA JIRANI YAKO UMPE JIRANI YAKO ALIYOTOA MPAKA HIYO NGUZO IKAFIKA HAPO. HII INGEFANYA WATU WENGI SANA KUVUTA UMEME. LAKINI UTARATIBU TANESCO WANAOUFANYA SI SAHIHI.....YAANI KILA JIRANI ANAETAKA KUUNGANISHIWA UMEME ALIPE ROBO YA PESA YA NGUZO MOJA APEWE YULE JIRANI ALIWEZA KULIPIA NGUZO ZIKAFIKA AU IKAFIKA HAPO.