TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri
TANESCO TANESCO ni kwamba hamjui kariakoo ni mji wa biashara wa kimataifa na baadhi ya majengo ni Underground ?
Waoneeni huruma wananchi tunateseka saaa mmekuja mfumo wa kukata line kwa line hamumuogopi hata Mungu kuwafanya watanzania kama chaguo la la tatu duniani kwamba hatuna thamani na afya zetu
Itafika mahali watu watazimia kwenye hizi Underground kwa joto kali ni swala la muda tuu
 
Honest am very tired of this country

Wameshachukua umeme wao

Honestly mnakeraa kichizi aseee

JPM uko wapiii Mzee wetuuu

Sasa ivi wanatuchezeaaa tuuuu wanavyotakaaaa

Hii biashara toka umeondokaa is ishakuwa ya ovyoo sanaaa .

Mama nakushaurii mrudishe Kalemanii Wizaranii
 
Wapi huko hakuna umeme,na sisi huku tujuadae,kutafuta tochi.
 
Honest am very tired of this country

Wameshachukua umeme wao

Honestly mnakeraa kichizi aseee

JPM uko wapiii Mzee wetuuu

Sasa ivi wanatuchezeaaa tuuuu wanavyotakaaaa

Hii biashara toka umeondokaa is ishakuwa ya ovyoo sanaaa .

Mama nakushaurii mrudishe Kalemanii Wizaranii

Mgao si umekwisha mkuu kwa Dar au upo mkoani?
 
Honest am very tired of this country

Wameshachukua umeme wao

Honestly mnakeraa kichizi aseee

JPM uko wapiii Mzee wetuuu

Sasa ivi wanatuchezeaaa tuuuu wanavyotakaaaa

Hii biashara toka umeondokaa is ishakuwa ya ovyoo sanaaa .

Mama nakushaurii mrudishe Kalemanii Wizaraniina JP

Na JPM ndo chanzo cha haya yote sasa
 
Honest am very tired of this country

Wameshachukua umeme wao

Honestly mnakeraa kichizi aseee

JPM uko wapiii Mzee wetuuu

Sasa ivi wanatuchezeaaa tuuuu wanavyotakaaaa

Hii biashara toka umeondokaa is ishakuwa ya ovyoo sanaaa .

Mama nakushaurii mrudishe Kalemanii Wizaranii
Kalemani atatoa wapi umeme? Anayeweza kuzuia majenereta ni nani?
 
Umeme huku umekata sa 1630 AM wamerudisha sa 1830 PM wakatuachia mpka sa 1926 PM mpaka muda naingia mitambo ya JF hakuna umeme
 
Back
Top Bottom