Ngwakwiii
JF-Expert Member
- Dec 6, 2019
- 434
- 541
TANESCO TANESCO ni kwamba hamjui kariakoo ni mji wa biashara wa kimataifa na baadhi ya majengo ni Underground ?
Waoneeni huruma wananchi tunateseka saaa mmekuja mfumo wa kukata line kwa line hamumuogopi hata Mungu kuwafanya watanzania kama chaguo la la tatu duniani kwamba hatuna thamani na afya zetu
Itafika mahali watu watazimia kwenye hizi Underground kwa joto kali ni swala la muda tuu