Samaki Singa
Senior Member
- Nov 20, 2016
- 191
- 194
Karne ya 21,system ya kununua umeme ina collapse zaidi ya saa 24,na hakuna tamko lolote,Tunaomba tujuzwe na TANESCO kuna matatizo gani yametokea kwenye mtambo wa luku toka jana jioni mpaka alfajiri hii.
Wananchi tupo kizani nchi nzima kwa kushindwa kununua umeme.
Tunakuomba Waziri wa Umeme Mhe.Medard Kalemani ujitokeze hadharani na kutupa maelezo ya kina juu ya jambo hili.
TANESCO wapo kimya bila kueleza chochote kuhusiana na kadhia hii.Nini tatizo jamani?Au ni hujuma kwa Rais wetu mpendwa mama Samia Suluh Hassan?
Tatizo unajaribu ebu Fanya kununua kabisa Usijaribu!Nmejaribj sshv 3:03 am imegoma
Usijaribu, Fanya kununua kabisa!Nimejaribu saivi bado huduma haipatikani.
Bujibuji unajishushia heshima Sasa. Kwani huko tanesco Kuna wasukuma tuu?Sukuma Gang Members wapo kazini kuhakikisha Mzanzibari hatoboi
Yeye anaamini dini moja tuu ya mwenyezi Mungu hizo nyingine kawaombee mababu na mabibi huko kwenu.Kazi kwekkweli mkuu, inabidi tumuombee mama kwa dini zetu zote.
Nimenunua kabisa na imeshindikana lbd unipe ushauri mwengineUsijaribu, Fanya kununua kabisa!
jana 18/5 nimenunua kutoka tigo pesa bila shida, try todayWakuu toka jana tarehe 17/ May umeme was Tsnesco kwa mfumo was Luku haupatikani kabisa. Tanesco wanachodai ni Kuwa mfumo upon down. Kwa zaidi ya Masaaki 24 wateja wanakosa huduma ya umeme. serekali nayo inakosa mapato yake.
Najiuliza je hii inaweza kuwa ni hujuma kukwamisha juhudi za mama. Ingefaa wahusika wachunguze kulikoni Ta
nesco?
Tigo ni tigo tu mkuuNilinunua jioni ya leo airtel token ikaja faster,baada ya tigo, vodacom na halotel kukosa
Eti kuna mtu amekaa anakuna kitambi siku nzima anajiita dk,injinia,profesa nkKuna taarifa yoyote imetolewa? Shida ya hizi nchi zetu uwajibikaji sifuri. Vinginevyo watu wangepoteza kazi. Tangu asubuhi nahangaika kununua umeme bila mafanikio. Naelekea kulala giza!!
Ni sehemu nyingi mimi nimejaribu Kagera na Dodoma mambo ni hivyo hivyoMbona watu sio waelewa? Tatizo la mfumo wa luku linapotokea na kusababisha mtu kununua umeme sio nchi nzima inakuwa ni baadhi ya maeneo tu, sasa mtu wa shinyanga anakuambia amenunua umeme ww mtu wa kusini unasema kwangu inakataaa kwanza umeambiwa hili ni jambo la taifa zima? Alafu unapozungumzia hasara kwnn mnaiyangalia tanesco kuliko ninyi watumiaji? Unaweza umeme ukakatwa kwa zaidi ya masaa 10 na bila taaarifa yeyote je unajua mtumiaji anakuwa amepata hasara kiasi gani? Hao wanaoshindwa kununua umeme na kusabaisha shughuli zao zisimame unajua wamepata hasara kiasi gani ? Nikija kukuuliza umepata hasara gani kwa kukosa huduma ya umeme unaweza kuniambia lkn nikikuuliza selikali imepata hasara kiasi gani kwa watu kushindwa kununua umeme unaweza nijibu ? Kumbuka tatecso inatukwamisha cc zaid inavyoikwamisha selikali.