Tanga: Mwanaume anyanyaswa na mwanamke kwa miaka 7

Huyo mwanaume alilishwa libwata. Ila hata kama ni libwata huyo mwanamke asingemtesa hivo huyo mwanaume khaaah?

Yaani adeki , aoshe vyombo, amfulie na aleee watoto na bado umnyime unyumba jamani?
 
Tanga line
 
Huyo mwanaume alilishwa libwata. Ila hata kama ni libwata huyo mwanamke asingemtesa hivo huyo mwanaume khaaah?

Yaani adeki , aoshe vyombo, amfulie na aleee watoto na bado umnyime unyumba jamani?
Na Bado naona alidaiwa talaka akaw hatoi Hadi mwanamke kudai mahakamani ni huzuni
 
Hawanaga izo mambo nakuambia labda uzae nae ...Labda ukutane na wale wa mjini .

Kule mke anaachwa hapewi hata Senti na anaolewa mwingine fasta .. kuachana kawaida kule ila useme adai mali
Ndoa mahari laki 2 kuachana ni muda wowote ila mmh kama nimepnda bhna siondoki aisee πŸ˜€ Sasa aniache amuachie nani
 
Aibu hii kwenye ukoo wake na familia yake kwa ujumla...Halafu huyo mwanamke kwenye hali halisi tu kabla ya kumchukua vipimo ni tahira kabisa...Hivi alishikwa uchungu kweli wakati wa kujifungua huyo...

Wanawake mmekua na tamaa sana yani mnatapatapa kama mfamaji...Nguvu ya usawa ndani mnaitaka,Nguvu ya pesa ndani mnataka,Tamaa za mali zimewajaa tele,Roho za unyanyasaji zimejaa vifuani mwenu,Ukatili mnaongoza....

Wanawake sio viumbe sahihi hata kidogo kuwawekea dhamana kwenye suala lolote lile kwani kukubadilikia ni mdaa wowote ule..
 

Huyu jamaa ameudhalilisha uanaume wake for 7 fukin years? Unafikiri mwanamke atakuheshimu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…