MtamaMchungu
JF-Expert Member
- Apr 10, 2011
- 8,974
- 12,662
Mwanaume mpumbavu, mwache ateseke tu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwanaume akiwa mpole sana anaboa
Anakuwa kama zezeta
hao ni nice guy.
Tanga lineView attachment 2524843
Mwanaume pichani anaomba msaada baada ya mateso makali aliyopitia kwenye ndoa yake ikiwemo kunyimwa unyumba kwa miaka saba mbali ya mapenzi makubwa aliyompatia mke wake ikiwemo kudeki nyumba, kumfulia nguo, kumfungulia maduka pamoja na kumnunulia gari.
Pia anadai yeye ndio aliyekuwa anawapeleka wanae klinik pindi walipokuwa wadogo.
Cha kushangaza mbali na mapenzi yote aliyomuonesha Anadai mkewe ameibuka mahakamani kuomba talaka na mahakama imeamua nyumba iuzwe wagawane mali bila kujali kwqmba nyumba hiyo ni mali ya watoto.
Bwana said anaomba msaada nyumba Ibaki isiuzwe kwakuwa watoto watakosa mahala pa kuishi.
Wakataa ndoa nawaona leo wanavyojishindia points
Ila jaman mwanaume wa kufanya yote hayo anakeraaa. Mwanaume usilegee sana kwa mwanamke... hadi kudeki??? Hapana. Wa hivyo anaboa.
Mapenz hayana formula 😀Hapana mi ustadhi mwanamke swala tano hanaga mbambamba
Hawanaga izo mambo nakuambia labda uzae nae ...Labda ukutane na wale wa mjini .Skia,
Hii imetokea Baada ya mzee wangu kutaka kuachana na mke wa pili alieoa wa upande huo
Na Bado naona alidaiwa talaka akaw hatoi Hadi mwanamke kudai mahakamani ni huzuniHuyo mwanaume alilishwa libwata. Ila hata kama ni libwata huyo mwanamke asingemtesa hivo huyo mwanaume khaaah?
Yaani adeki , aoshe vyombo, amfulie na aleee watoto na bado umnyime unyumba jamani?
Ndoa mahari laki 2 kuachana ni muda wowote ila mmh kama nimepnda bhna siondoki aisee 😀 Sasa aniache amuachie naniHawanaga izo mambo nakuambia labda uzae nae ...Labda ukutane na wale wa mjini .
Kule mke anaachwa hapewi hata Senti na anaolewa mwingine fasta .. kuachana kawaida kule ila useme adai mali
Kwa hiyo hakunaga habari za talaka kabisaHawanaga izo mambo nakuambia labda uzae nae ...Labda ukutane na wale wa mjini .
Kule mke anaachwa hapewi hata Senti na anaolewa mwingine fasta .. kuachana kawaida kule ila useme adai mali
Nakuambia kuachana ni rahisi yaani kupewa talaka chap na kuolewa mwingine hata wiki haijapita tayarKwa hiyo hakunaga habari za talaka kabisa
Acha kupaka mfuta kwa mgongo wa chupa
Kumbe Kuna lingine wanachakachua 😂😂Hilo linaitwa limbwata grade 1
Halijachakachuliwa hata kidogo
Bwana Saidi mkazi wa Jijini Tanga anaelezea alivyonyanyasika na mkewe ambaye kwa sasa amemuacha na kuivunja ndoa yao kwa Kadhi. Huku bado manyanyaso hayo yakiendelea baada ya mkewe kutaka nyumba waliokuwa wakiishi iuzwe wagawane mali.
Majirani wamesema mwanaume huyo alikuwa akimpenda mkewe hadi kufikia hatua ya kumfulia nguo zake, kupiga deki, kuchota maji, kupeleka watoto kliniki, kumfungulia maduka manne sambamba na kumpa gari lakini haikuwa dawa kwake hatimaye ameamua kumwacha.
Mwanaume huyo anaomba msaada asaidiwe.
View attachment 2524869
------