Tanga: Mwanaume anyanyaswa na mwanamke kwa miaka 7

Changamoto za wanaume hazinaga wanaharakati jamaa apambane mwenyewe kiume tu,Mungu atamsaidia.

Sasa pata picha hii issues ingekuwa ina muhusu mwanamke, mda kama huu tayari NGO kama mia tayari washamwekea wanasheria, bado kuna wanasiasa wanajipatia umarufu hapo hapo.
 
Huyo ni mgonjwa..kuna mwanaume wa hivi jamani?
 
Kabisa sio mwanaume amepoa poa mwanaume awe na kaubabe sio kuosha osha vyombo kama mwali πŸ˜‚πŸ˜‚
Hapo ndipo wajuba tunapita na point 3. Siwezi kuosha vyombo kichoko utakula mbata hizo hutaamini. πŸ˜€
 
Huyo mwanaume alilishwa libwata. Ila hata kama ni libwata huyo mwanamke asingemtesa hivo huyo mwanaume khaaah?

Yaani adeki , aoshe vyombo, amfulie na aleee watoto na bado umnyime unyumba jamani?
Si amechagua kuwa jentromeni 🀣 thats the price you pay to be a jentromeni in bongo tz
 
Wanawake wengi wanaonewa na wanaume ila akibahatika mmoja wa kuonea mwanaume anafanya hadi analipia wanawake wengine 1000 wasio na ujanja wa kumuinamisha mwanaume
🀣 Huyo mzee ni boya mmoja. Mie kunifanya hivyo labda uniroge kwanza
 
Mwanamke ni sawa na mtoto, kumdekeza kupitiliza ni kumuharibu.
 
🀣 🀣 🀣 🀣 🀣 SIMP medal awarded to him. Huo ujinga sijui mwanamke wangu ataanzia wapi maana
 
Miaka 7 yote huku nje janamke tunalipanua tu pwaaaaaaaaa.....!!! Janaume lipo tu kama jinga.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…