Tanzania kuchoma tena vifaranga kutoka Kenya?

Gari inasambaza magonjwa kama kuku?huwa yanaumwa kideri au mdondo kama kuku?
Wale ng'ombe wa kenya mliokamata kwa nn hamkuwachoma?? Wasingeweza kueneza magonjwa
 
Huwezi elewa wewe akili zako ni za kitoto sana. Hujawahi ona nguruwe wanauwawa kwa sababu wana magonjwa? Tumia akili kidogo basi wewe ass!!?
 
Sheria ikipitishwa na Bunge maana yake watz wamekubaliana na sheria hiyo kwa kuwa wabunge ni wawakilishi wa wananchi.
 
Marehemu naona umefufuka. Una hasira kama zote. Raisi wa wanyonge
Huwezi elewa wewe akili zako ni za kitoto sana. Hujawahi ona nguruwe wanauwawa kwa sababu wana magonjwa? Tumia akili kidogo basi wewe ass!!?
 
Andika ukiwa huru bila mapepo ya chuki mkuu...

Njoo kanisani kwetu tukuombee
Huo ndio ukweli, najua mliokuwa timu ya kusifia hamtaki kuusikia, juu ya MZALENDO MPIGAJI NAMBA MOKO!!, mliaminishwa hivyo kuwa kila kitu ni safi!!!kwa makanisa haya ya viongozi jamii ya GWAJIMA,MASANJA MKANDAMIZAJI bora niendelee tu kuamini mizimu ya mababu tu.
 
[emoji16][emoji16]njoo tukemee
 
Sijui kwanini huwa mnatafuta sababu za kutetea wavunja sheria.
 
Taratibu za kuingiza vifaranga Ni zipi?
Inawezekana kweli kwamba hii Ni Mara yake ya kwanza kuingiza chicks toka 254?
Inawezekanaje asijue taratibu hata marafiki Hana?
 
Umeshasema vimeingia kinyume na taratibu...

Unalialia nini sasa!?!!?
 
Soma Animal diseases act 2003 ,ukiielewa vizur urudi tena utwambie umeelewa nn .
 
Kuna sheria za kuingiza wanyama nchini. lazima mtu apate kibali na pia wachunguzwe kama huko watokako hawana magonjwa. Ama sivyo unaweza kuleta magonjwa ambayo hayakuwepo nchini na kuleta athari kwa wanyama au ndege au kuku waliopo. Naamini DVS amefanya kazi yake vizuri. Tumpe support.
 
Huyo mfanya biashara kaumia, milioni 40! Naye nini kamfanya asifuate kanuni, ama amekuwa na mazoea na kwa bahati mbaya / nzuri leo ikala kwake
 
amefanya kazi yake vizuri.kuingiza viumbe bila utaratibu ni hatari kwa walaji ,lakn kwa viumbe wetu wa ndani.
 
Inabidi wafikiri hili kwa upana kidgo hizi sio zama zile za mabifu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…