TANZIA: Mama Mercy Mengi, ameaga dunia Afrika Kusini akiwa anapatiwa matibabu

Pesa kitu kingine.Kwa sababu mke wa tajiri umeandika " Rip mama" ila angekuwa mwenzangu na.Mimi am sure as hell usinge andika hivyo.

May Almighty Allah grant her Janatul Firdaus na kuwapa nguvu watoto wake na mume wake
Jannatul Firdaus...do you it or it was on your way?
 
Sidhani kama wote tunajua full story ya kutengana kwao but nakumbuka Mengi aliwahi pewa hadi ulinzi na serikali ya Mwinyi, wakati huo anakaa Haidary plaza hadi lift zinalindwa. It was romoured the wife hired a hitman to finish him.
Mkuu, mnaojua kila mkileta moja moja, ndo watu wanapata cha kwenda kusemea kijiweni.
 
unaeza kuwa na fununu za aliko huyo hausgel nini anafanya kwa sasa yupo wapi n.k?
 
Nawaza tu. Ati kuna mtu kwa sababu ya pesa alihalalisha dhambi yake ya uzinzi for years. OK G's good allthe time. Naona atasema; Ehwiiii k=naona sasa nitoke kifungoni. Ole ni kwa mlio toa ruksa utengano huo. Neno linasema; Alichokiunganisha Mungu.....
 
sijaelewa vizuri, alikuwa mke wa Mzee Mengi au ni Mama yake mzazi??
 
Madam alijichanganya mwenyewe kwa waziri kijana wa enzi hizo. Mzee aliboreka vibaya vibaya na hakwenda mbali alimvuta shost wa madam
Madam nae alichapwa nao kumbe,saiv anadanga tu nae,ila mzee baba kitombi balaa sidhani kama atakuwa hana luku kweli huyuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…