TANZIA: Mwandishi Lutengano Haonga wa TBC afariki dunia

Nasema tu lakini inaweza kuwa sio kweli.

Kama yule mzee waliyemzika zanzibar alikuwa kwa corona.

Basi huko zanzibar kutakuwa na shida sana.

Huku kwetu tumezoea shida.
 
Wagonjwa wa Corona hawako hospitali wako eneo lingine jirani na hospitali. Hospitali haihusiki.
Hospital ya Mloganzila aka kamtupeni haiaminiki kabisa, inasemekana ukimpeleka mgonjwa 99% harudi, kwann bado mnapeleka wagonjwa?, bora ukafie hospital nyingine sio hii.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Lini Rais hajahimiza social distancing? acheni propaganda za kipumbavu, Rais kila aongeapo lazima ahimize wananchi kuchukua tahadhari zote zinazoelekezwa na wataalamu, miungoni mwa tahadhari hizo hiyo social distancing haipo? hakuna asojua korona ni hatari na usitegemee Rais akulinde usipochukua tahadhari wewe na family yako.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyu alikuwa na sauti ya pekee, alikuwa hatumii nguvu kuzungumza, alikuwa akinivutia mno..!

Apumzike kwa amani..!
 
Madhara ya kuwasikiliza Makonda n.a. genge lake.
 
Wameshazoea unafiki, hawana akili za kufikiria ukweli ingawa wanaujua!

Sent using Smartika kitochi
 
Mpwa kulikuwa na party gani, mi nilikuwa busy for the past few days sijui chochote. Na Kama Marine alikuwa na COVID 19 kwa nini serikali haijasema chochote? Na kwa nini wasiwaweke quarantine wafanyakzai wa TBC ili wawaponye?
Mkuu ndo ujue kuwa serikali ilikuwa inatoa taarifa za uwongo juu ya maambikizi ya Corona nchini na kuwafanya wananchi wajiamini. Vifo vitaendelea kuiumbua wizard ya afya maana wanaokufa ni wale ambao hawakuwa reported from the beginning.
 
Walokole wajinga sana!

" ambao hawana Yesu ndio watakao kufa na korona"

Pumbavu kabisa! ndiyo maana walokole wanasemekana wamechanganyikiwa kidogo.
Kwa imani yao kuacha kupumua na mzunguko wa damu kusimama sio kufa “sitakufa bali nitaishi” kwahiyo inawezekana wewe haukuelewa ama yeye nae alikalilishwa na mchungaji wake bila kuelewa maana ya neno hilo.


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…