Tetesi: TEC haifurahishwi na mwenendo wa Serikali kuhusu makubaliano ya bandari na DP World

Bwana we nendeni mkasupport ushoga huko
 
Ndio maana kuna Bunge wabunge wakikubali nchi imekubali watu kama nyie kipindi cha kampeni hamsikilizagi sera mnaletaga ligi oooh mbele kwa mbele yakiwafika shingoni mnatuletea zozo tumewachoka
Wabunge wepi hao! Hawa wezi wa kura na waliopewa ubunge wa bure kwa maelezo ya kupita bila kupingwa.😳
 
Duru ndani ya TEC hawafurahishwi na namna Serikali ilivyokubaliana na DP Word kuhusu usimamizi wa bandari yetu/zetu.
Kwani katika uendeshaji wa nchi, hawa TEC ndio nani?. Tusichanganye dini na siasa, Maaskofu waendelee kuwahubiria watu habari Njema za ufalme wa Mungu ili kuwapeleka waumimi wao mbinguni. Bwana Yesu alituhimiza tumpe Mungu yaliyo ya Kimungu na Kaisari yaliyo ya Kaizari.
hata Baba Askofu wake ameshangazwa na makubaliano yale tena akiyaita ya AJABU NA YANAYOWEZA KUKUBALIKA KWA WATU WAJINGA!"
Huu ni uchonganishi!, hupaswi kiandika kila unachosikia!, tanguliza kwanza maslahi ya taifa!, Baba Askofu gani anawaita wale waheshimiwa wetu wajinga?. Hajui kwamba kukubali kule ni maelekezo?. Hii inamaanisha huyo Baba Askofu anamuita hata nanilii ni mjinga?, kwasababu mtu wa kwanza kumkubali Mwarabu wa Dubai ni yeye!.
P
 
TEC mnatupa moyo sana sisi wanyonge. Waraka utoke tu sasa kwa hawa watawala madhalim..
 
Kwani kwenye uendeshaji wa nchi wewe ni nani?
 
Hatujawahi kuwa na baraza la kuropoka kabla ya waraka! Utakuwa una kiherehere wewe! Muumini mpuuzi wewe! Au ulitaka ututangazie kwamba unafahamiana na Padre?
 
Boganza[emoji2935]
 
Waache unafiki!

Kwanini wasidai katiba mpya ili owe rahisi kumwajibisha Rais!!?

Wake kwa kutulia acha nchi iserereke mbele kwa mbele hadi Bandarini!!
 
Wao ni wataalamu wa uendeshaji wa bandari na sheria ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…