TEC ivunjwe imekiuka miiko ya Kikatoliki kwa kushindwa kueneza upendo kwa wote

Waliwaambia watawakata vicha kama wakifanya nn? Lazima walisema sababu
Roho itendayo dhambi ndiyo itakayo kufa
Wakikata watu vichwa ndo uislamu unapanda hadhi!
Kufanya hivyo walivyoonya (kuandamana) kwa mujibu wa sharia adhabu yake ni kukatwa kichwa?
 
Kwahiyo unaona mtu kuvuliwa Upadre ni rahisi kama vile dada zako kuvuliwa pichu
 
Kabla haijavunjwa tupe kwanza muundo wake?

Halafu wee pimbi kiazi mada zako zinaharufu ya udini dini tu!
 
Kabla haijavunjwa tupe kwanza muundo wake?

Halafu wee pimbi kiazi mada zako zinaharufu ya udini dini tu!
Hakuna udini labda akili Yako ...futa kabisa udini kichwani mwako
 
Kampigie Kura kule Mama yako ya tyrant of the Year.
 
Unajua kazi ya TEC wewe? Naona bado unaendelea kutumia makalio yako kwenye kufikiri.....shenzi na mpumbavu mkubwa wewe.
 
Kufanya siasa
Kwani TEC siyo binadamu? wakiona watu wanaonewa wanyamaze kimya? Kwa hiyo kuua watu ni siasa? Kweli wewe makalio yako hayafikiri vizuri unafuata tu mkumbo....huelewi chochote, kila mtu anayo haki ya kukemea uonevu bila ya kujali nani anaonewa...Umesoma katiba ya Tanzania ya mwaka 1977, pamoja na mapungufu yake imetaja uhai ni haki ya kila raia. Ukisema watu wanauawa na wanauawa kweli.....Hiyo siyo siasa.......Huelewi maana ya siasa wewe fala. Kwa hiyo wewe ndugu yako akiuawa na polisi utanyamaza tu kwa sababu ni siasa? Kweli wewe akili yako imeshahama tena.....Huko ulipo jua limetoka? Naona kama Solar panel yako imeishiwa chaji.
 
Kwahiyo tec wanamahakama hapo mission?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…