Tetesi: Tetesi za usajili wa dirisha kubwa ligi kuu Tanzania bara 2025/2026

Offensive strategies hujaisoma kama ni role ya Modern DM?
 
Hapo kwa Feitoto, yatamkuta kama yaliyo mkuta Mhasibu.
Jamaa kang'ang'ana Feitoto anaenda Simba utadhani yeye ni Try again.

Sasa ngoja Feisal asiende Simba, ndio atajua ajui.
 
Hata Masanza alikua anakaza Sowah hawezi kununuliwa hapa bongo, mwisho wa siku wamekuja na swaga za kua ameenda simba kwa makubaliano maalumu. Soka letu kivyetu vyetu
 
Hata Masanza alikua anakaza Sowah hawezi kununuliwa hapa bongo, mwisho wa siku wamekuja na swaga za kua ameenda simba kwa makubaliano maalumu. Soka letu kivyetu vyetu
Brother, endeleeni kupiga nyeto tu, ila swala la Feitoto kusaini Simba hilo halipo.
Ila kwakua nyinyi ni mbumbumbu endeleeni kutuonyesha umbumbumbu wenu.
 
Brother, endeleeni kupiga nyeto tu, ila swala la Feitoto kusaini Simba hilo halipo.
Ila kwakua nyinyi ni mbumbumbu endeleeni kutuonyesha umbumbumbu wenu.
Kwani asiposajiliwa ni uhaini?
 
Reactions: Tsh
Hechilema uje utuambie hapa kabla adhana haija adhiniwa.
Feitoto keshasaini Simba, ama jana ulikua vyombo tu, ukaamua kuzingua mbumbumbu wenzio?
 
Hechilema uje utuambie hapa kabla adhana haija adhiniwa.
Feitoto keshasaini Simba, ama jana ulikua vyombo tu, ukaamua kuzingua mbumbumbu wenzio?
Wewe dogo jibu swali hapo nimekuuliza, kwanin huyo mchezaji unayemtaja hawezi kucheza Simba??
 
Kwanini haiwezekani huyo mchezaji kucheza Simba ..
Nenda kamsikilize Zaka za kazi, utajiridhisha.
Hata mimi lile swala la mkataba uliopo baina ya Yanga na Azam kuhusu kuuzwa kwa Feisal nilidhani viongozi wetu (wa yanga) wanatupanga tu.
Ila nilipo msikiliza kwa makini Zaka za kazi ndipo nikaamini maneno ya viongozi wa Yanga.

Amini na kwambia hakuna club ya Tanzania inayoweze kulipa Billion 2 kwa mchezaji mzawa.

Kama Simba munayaweza tuonyesheni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…