Kipigo ulichopewa siulikionaHaya maneno si mageni jijini hayo mashindano ya kina mama ndio yalifanya ninyi msijiite kina mwakarobo, msimu uliopita pia mlisema mtabeba ubingwa wa cafcl na hakuna timu ya kuwafunga africa mkataka mcheze na malaika, lakini kilichotokea wote tuliona matokeo yake makasiriko yakahamia kwa simba mpaka sasa
Wandakidi miaka 21 😂Mzize amejiunga na timu ya Qatar Kwa uhamisho wa dollar 900,000 Kwa pesa za kitanzania ni Billion 2
Huu ndo usajili uliovunja record Kwa mchezaji kutoka ligi ya kuu ya Tanzania
Yanga wasingekataa huu mkwanja
Hongera Yanga Kwa kumuuza mchezaji mliomtengeneza kutoka kwenye academy
Hakika mkuuWandakidi miaka 21 😂
Ukiwa umezoea kuvaa kata mbuga ukiwa nzovwe huko ndanindani basi hata viatu vya kijanja utaviona vya ajabu kweli nimeamini
Rage alikuwa sahihi kuwaiteni mbumbumbu 😄Bila milioni 4 huvai hicho
Rage alikuwa sahihi kuwaiteni mbumbumbu 😄
Yani kweli umbumbumbuni yamejaa matahira
Wala hatushangai maana kuwafunga simba na kufyeka vichaka vya simba ndio kipimo cha mafanikio yenuKipigo ulichopewa siulikiona
Mafanikio ni makombeWala hatushangai maana kuwafunga simba na kufyeka vichaka vya simba ndio kipimo cha mafanikio yenu
Unahangaika na bumunda....Kwa ki
Mchezaji kama Bosquest akicheza misimu miwili na akiwa na form ya juu bila goli
Kibu dee kibu deee .. misimu mitatu ana goli ngapi na huyo ni kiungo mshambuliaji!?? ....Badala ya kubeza walau ungeangalia kwa jicho la kihalisia.
Mechi 55 guys no goal no assist, kweli mmedhamiria mnataka kuifanya ionekane kawaida?
Kenny Cunningham alicheza zaidi ya mechi 300 bila kufunga Wala assist ..na wapo wengi tu ...Alikuwa na assist 2
Sasa mmebeba kombe lipi ambalo simba hawajabeba mmebaki kujisifia tu kwamba mmefyeka kichaka cha kubeba ubingwa misimu minne mfululizo yani ninyi mnasubiri simba wafanye ili mje mlipize tu, huko kimataifa msimu ulioisha mlijazana ujinga kwamba mtafyeka kichaka cha simba cha caf ranking matokeo yake siku ya ile mechi fyekeo likageuka butu mkaishia kulamba nyasi, hayo mashindano unayosema mngebeba kombe mlishindwa nini kubeba kipindi kile mbele ya usm alger ambao ndio walilichukulia kombe kwenu kwa mara ya kwanza ndio unataka umfananishe na berkane mzoefu ambaye hili kwake ni kombe la tatuMafanikio ni makombe
Yanga imebeba Makombe ambayo na nyie makolo mlishiriki, achana na kuwafunga nje ndani
Nina uhakika kama Yanga angecheza hiyo UMISETA huko umamani nako angebeba
Kila timu ioneshe makombe yake msimu huuSasa mmebeba kombe lipi ambalo simba hawajabeba mmebaki kujisifia tu kwamba mmefyeka kichaka cha kubeba ubingwa misimu minne mfululizo yani ninyi mnasubiri simba wafanye ili mje mlipize tu, huko kimataifa msimu ulioisha mlijazana ujinga kwamba mtafyeka kichaka cha simba cha caf ranking matokeo yake siku ya ile mechi fyekeo likageuka butu mkaishia kulamba nyasi, hayo mashindano unayosema mngebeba kombe mlishindwa nini kubeba kipindi kile mbele ya usm alger ambao ndio walilichukulia kombe kwenu kwa mara ya kwanza ndio unataka umfananishe na berkane mzoefu ambaye hili kwake ni kombe la tatu
Hapa atakwambia alifunga dhidi ya yanga.Kibu dee kibu deee .. misimu mitatu ana goli ngapi na huyo ni kiungo mshambuliaji!?? ....
anajua sana huyu dogo atatufaa thimba sportsKeep an eye on Paschal Msindo
Vipi kama kocha hajampendekeza fei toto ila viongozi wa simba wamemsajiri. Naye hatacheza?Mkuu Kuna kitu nilikisema wakati flan kua viongoz waache kuleta wachezaj wa 10% ..
Sasa Kuna taarifa zinasema kocha kaja kambini kakuta mchezaji ambaye hamjui na sio anaemtaka..wanapigiwa simu viongozi wanapiga blah blah ..kocha kawaambia labda kama amekuja kua mtazamaji wa mechi ila hatocheza mechi hata Moja sababu hayuko kwenye mipango yake na sio mchezaji aliempendekeza au aliemtaka. Kuna viongozi wa hizi timu wanatakiwa kuacha ubabaishaji.
Wanajua nini Hawa makapuku wanajua hata adidas ni nini..
Manchester Utd kamaliza wa 15 epl ..na kachukua ubingwa ulaya hapo vipi..nzuri au mbovu!??Team inayofanya vibaya Imefika fainal kimataifa😂😂