Tetesi: Tetesi za usajili wa dirisha kubwa ligi kuu Tanzania bara 2025/2026

Naomba nipe sababu za msingi kusema sio sajili ya kiufundi
 
Hili kombeee, Simba ameshalichukua pia. Hata kama Simba kabeba mara moja na Yanga mara zote. Sema jambo ambalo Yanga kafanya Simba hajawahi kulifanya. Mfano Simba hajawahi beba kombe la Toyota si ndio?
Kweli mkuu watu tunataka kitu cha tofauti, demu nikishamla mara moja ww mle hata mara elfu mbili hakuna jipya wote tumekula..
 
Huyu mchambuzi wao mpumbavu sana leo hii anadai eti ishu ya mpanzu ni propaganda inayosambazwa na simba ili kuzima utambulisho wa zimbwe yanga sasa nani asiyejua hilo kuwa zimbwe ameenda yanga, anajisahaulisha kwamba aliyeanzisha hii propaganda ni yule msemaji wao roporopo aliyefikia hadi hatua ya kuahidi mtu kuwa akipata picha ya mpanzu mazoezini na simba basi amdai milioni kumi, kwa vile wao washazoea kuanzisha propaganda za kitoto dhidi ya simba kama walivyofanya dirisha hili kudanganya watu kuwa kila mchezaji waliye msajili alitakiwa na simba ila akaenda yanga basi wanadhani simba nao wana akili kama zao hebu muambieni huyo kijana aache uchawa

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…