Ni ngumu kutaja kwa haraka kiwango cha pesa kinachodaiwa kwa kuwa mambo yametokea kwa haraka tangu tamko la Kamwe kisha CRDB. Ndio maana maana wameita team ya finance iripoti ofisini kuhakiki madai yao.Mbona hawataji kiasi gani wanaidai Yanga?
Kudaiwa inawezekana lakini hiki ulichoambatanisha ni uongo
Hili nililiona kwa kuwa haya ni mambo ya kawaida kwenye taasisi. 🤣Nimecheka sanaaa...hasa ulivyojiuliza mwanzo kabisa kama ulijua wamekatwa...eti songesha... 😀
Ila inamaana wao Yanga mwaka mzima wamekaa kimya au hao tff hawasemi why hela haipo mpk leo?
Taarifa ya 2017 hiyo usipotoshe
Sasa mtani tunaenda pamoja...Hili nililiona kwa kuwa haya ni mambo ya kawaida kwenye taasisi. 🤣
Umeuliza swali la msingi. Na Ally kamwe alisema wamekuwa wakiandika barua kwa TFF ili kulipwa pesa za ubingwa wanazungushwa. Nafikiri hakuwa na taarifa kamili toka uongozi wa juu kijana alihemka. Swali ni nani aliidhinisha makato ya juu kwa juu kama songesha? Hapa TFF wameamua kumwaga biriani. Kuna udhaifu kwenye management ya Yanga.
Bado haisaidii kitu, walikuwa wap mwaka mzima kufanya hizo hesabu za madeni yao?Ni ngumu kutaja kwa haraka kiwango cha pesa kinachodaiwa kwa kuwa mambo yametokea kwa haraka tangu tamko la Kamwe kisha CRDB. Ndio maana maana wameita team ya finance iripoti ofisini kuhakiki madai yao.
Hapa TFF nawapa heko kwa response ya haraka vinginevyo mambo yangekuwa hovyo
Hii vita ni ngumu watu wanatetea ugali wao. Wote wanahitaji kukaa chini na kuamua kutunza siri kwa baadhi ya mambo. Kuna baadhi ya taarifa ni siri ya taasisi na taasisi. Ally kalipuka kataja siri za kikao hata yale ambayo hayakupaswa kusemwa na TFF imejibu kiweledi. Ally amekiuka miiko ya uongozi kukiruka kipengele cha confidentialitySasa mtani tunaenda pamoja...
Yataibuka mengii mengii mpka mpira utafungiwa au la busara tena zitatumika...
Ana kesi ya kujibu soon..Hii vita ni ngumu watu wanatetea ugali wao. Wote wanahitaji kukaa chini na kuamua kutunza siri kwa baadhi ya mambo. Kuna baadhi ya taarifa ni siri ya taasisi na taasisi. Ally kalipuka kataja siri za kikao hata yale ambayo hayakupaswa kusemwa na TFF imejibu kiweledi. Ally amekiuka miiko ya uongozi kukiruka kipengele cha confidentiality
Mimi ni Yanga pia. Hivi umeelewa majibu ya TFF mkuu? Uongozi wa timu yetu uliiandikia TFF kuwa deni likatwe kwenye malipo yao ya zawadi za ubingwa. Inamaana ilishakatwa kitambo. Ilikuwa ni jukumu la timu ya Yanga kwenda TFF kuhakiki makato yao ya deni mapema ili kama kuna kiasi kinabaki kichukuliwe na kama Yanga inadaiwa iendelee kujipanga namna ya kumaliza deni.Bado haisaidii kitu, walikuwa wap mwaka mzima kufanya hizo hesabu za madeni yao?
Tukijifunza kwa Simba tutapotea zaidi huko ni giza tupu acha tuendelee kupata nondo toka LALIGA na sevilaHivi yanga inatoaga wapi wanasheria wao, timu imejaa mambumbumbu.
Kwani wakijifunza kwa Simba watapungukiwa nini?
Kwa ninavyoona Yanga wanajitia aibu.Huu mpira wa bongo ni kupumzika tuu na kuwaacha wararuane mpk apatikane mshindi au wote chali...
Alamsiki....
Kwa hiyo Ali komwe alikurupukaTFF waivua nguo yanga 🤣🤣🤣
View attachment 3363224