Tito Magoti: Samia amefahamishwa rasmi kuhusu shauri lililofunguliwa dhidi yake ICC

Mnazeeka vibaya sana nyie.
Fedha unazo pewa Kwa sababu ya kufanikisha mpango uvu usifirahia .Hizo fedha zinaweza kuishia kwenye matibabu ya kansa ya kazazi Kwa mama yako!!Damu za watu ni mbaya

Facts ni zipi we mbwa takataka....??? Facts ni kuwa Raia Haramu Samia Kaua...na ushahidi upo
Nikiona post ya mitusi tu najua huyo lazima ni CHADEMA
 
Kanisa limekufa tayari

Kwani wewe unaona nani analipa heshima kanisa katoliki hivi sasa

Kanisa limekuwa kama zecomedy tuh
Kama serekali inaandaa hadi watu kujifanya ni wakatoliki wanapanda miti, bado chuki yako inakuaminisha kanisa lina kiwango cha chini katika ubora wake? Ukiitoa serekali, kanisa la Romani ni taasisi inayofuatia kwa nguvu na ubora. Ni ukweli unaomiza lakini haukwepeki. Washauri kwanza waisilamu kupanda miti kuzunguka misikiti ili tujue mtakaa wapi.
 
Kote mbali, kama Kenyatta tu na Rutto walifikishwa ICC huyu kibibi yeye ana uspesho gani asifikishwe kizimbani?
 
Aliekuambia mimi ni mtetezi wa uislam na waislam nani??

Uislam unahitaji kutetewa nani kakuambia??

Mimi ni kiboko ya hao wavaa magauni wahuni wanaoishi kwa kupiga nyeto na kuharibu amani ya nchi.
Samia kamtuma Kombo kwenda Vatican kuwapigia magoti wavaa magauni kuwaomba msamaha chazea madhehebu yote lkn sio Katoliki.
 
Na alivyo kilaza hakawii kusema aliamuru watu wauawe ili kutetea madaraka yake 😂! Watamnyoa fasta kabla jogoo hajawika
 
Huwezi conclude uchunguzi wa kisheria toka kwenye picha halafu ukawa credible,lazima uende ground
Ndiyo maana mnabaki na maneno huenda mamia wamezikwa makaburi ya halaiki,hamna uhakika wala hamjui mseme yalipo
Subiria yule mkuu akishatiwa nguvuni watu watakuja mpaka na picha za waliokuwa wanafukia maiti. Usalama ni mdogo sahizi watu hawawezi risk maisha yao.
 
ICC sio soko la samaki feri kwamba mtu anajiendea tu, heshimuni sheria za nchi, heshimuni dola.

Msipoiheshimu dola kwa hiari yenu mtalazimishwa kufanya hivyo.
Na ICC sio Mahakama ya Kisutu kuwa atampigia hakimu mkazi aahirishe kesi, na huko haendi kwa hiyari atapelekwa kwa nguvu apende asipende.
 
Katika watu waliosababisha watoto wa watu kuuliwa uyo bwege yumo, matokeo ya kutomeza watoto wa watu then yeye abaki nyuma ya keyboard akipiga jaramba , unadhani Mungu atamuchekea ?!. Soon huyo kibwengo anakuwa chizi.
Duh kumbe ndio huyo? Hao watu waliuliwa kwa kosa gani mkuu?
 
Hivi Mzungu akilitaka hili koloni lake ana haja ya kumtuma mshenga? Si anavamia tu na kupindua 😂
 
Tunataka mtukane matusi mapya hayo tumeshayazoea macho.ko nyinyi

Na mkiweza ingieni road tuwamwage mavi tena maaluuni wakubwa
Mlifikiri TEC ya mchezo mchezo hadi mjue dini ya kweli ni ipi, mwambieni na mama yenu akatubu

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…