Steven Joel Ntamusano
JF-Expert Member
- Jun 17, 2023
- 9,414
- 6,029
Rais aliwauliza kama ile ilikuwa nguvu kubwa nguvu ndogo ipoje?.Bila shoot to kill ingekuwa vigumu kudhibiti zile vurugu zilizolipuka mikoa zaidi ya 5 kwa wakati mmoja. Bila shoot to kill sasa hivi tungekuwa ni Sudan nyingine
Uroho wa madaraka tu Kwa yule ajuza,hakuna Cha Sudan Wala nini,hatuna rais Kwa Sasa nchini Tanzania bali ni wauaji walioshika madaraka Kwa nguvu bila ridhaa ya wananchiBila shoot to kill ingekuwa vigumu kudhibiti zile vurugu zilizolipuka mikoa zaidi ya 5 kwa wakati mmoja. Bila shoot to kill sasa hivi tungekuwa ni Sudan nyingine
Bila shoot to kill ingekuwa vigumu kudhibiti zile vurugu zilizolipuka mikoa zaidi ya 5 kwa wakati mmoja. Bila shoot to kill sasa hivi tungekuwa ni Sudan nyingine
Sasa si utoke uingie barabaran uone??Mwambie mama yako aue tena aone.
Watu wanao mtukuza samia ni wapumbavu sana ...samia si lolote si chochote duniani ni ksma funza tu ..hivyo kudhani ICC itamwogopa au Samia anao uwezo wa kushindana na nguvu za kimataifa ni UANITHI WA AKILI MKUBWA SANA .Nakwambiaje hata apiganiwe na Trump, huyu kibibi muuaji hawezi kukwepa mkono wa ICC.
ICC imetoa arrest Warrant kwa Putin, Majenerali wake Urusi na Netanyau pamoja na vikwazo vya Marekani na kiburi cha Urusi ndo ishindwe kwa Samia na vidampa wake kina Mombo, Mkunda, Awadhi Haji na Wambura?
Mtafurahishwa mwaka huu ccm.
Hujiulizi kwanini hawakwenda kwa Ayatollah Ali Khamenei wa Iran wakakimbilia Vatican.
Halafu hujui Kanisa katoliki linavyofanya kazi, papa anategemea ripoti kutoka kwa paroko na askofu ambao ni wajumbe wa TEC,
na unafikiri Papa ni mjinga kama mufuti wa bakwata hajui kuwa Kitima alivamiwa na watu waliotumwa na serikali hadi leo hakuna kesi wala kukamatwa wahusika. Jinga sana.
Watu wanao mtukuza samia ni wapumbavu sana ...samia si lolote si chochote duniani ni ksma funza tu ..hivyo kudhani ICC itamwogopa au Samia anao uwezo wa kushindana na nguvu za kimataifa ni UANITHI WA AKILI MKUBWA SANA .
Uroho wa madaraka tu Kwa yule ajuza,hakuna Cha Sudan Wala nini,hatuna rais Kwa Sasa nchini Tanzania bali ni wauaji walioshika madaraka Kwa nguvu bila ridhaa ya wananchi
Watu wenyewe ndo hawa unawaona humu kina big show na wenzake muda wote kuzungumzia udini sasa akili watatoa wapi?Watu wanao mtukuza samia ni wapumbavu sana ...samia si lolote si chochote duniani ni ksma funza tu ..hivyo kudhani ICC itamwogopa au Samia anao uwezo wa kushindana na nguvu za kimataifa ni UANITHI WA AKILI MKUBWA SANA .
Utacomment sana kwa multiple id zako mwaka huu ila elewa tu, mwaka huu icc haiepukikiStay tuned hivyo mpaka 2030. Na wewe lazima upate kichaa maana huna la kufanya zaidi ya kufungua nyuzi za chuki
Backup yake mnaijua nyinyi Raia feki ....matendo yenu yamesha julikana wazi wazi kuwa ajenda yenu ni kuigeuza serikali kuwa mali ya wahuni wachache tena RAIA FEKI sasa subirini mtakacho kipata baada ya serikali kurudi mikononi mwa wananchi ...TUTAPITISHA AZIMIO LA ARUSHA KWENYE MALJ ZENU MLIZO IBA SERIKALI NA KUWAKAMATENI WOTE NA SHERIA MPYA YA URAIA INAKUJA .. WATU MSIO NA MAJINA YA UKOO YA KIBANTU SAHAUNI KUWA RAIA WA DARAJA YA JUU ..MTAKUWA RAIA WA KAWAIDA TU AMTARUHUSIWA KUFANYA SIASA WALA KUSHIRIKI MAMBO YA SIASA WALA KUWA VIONGOZI SERIKALINI.Mlitaka kumchukulia poa sana nyinyi ma.fala
Sasa mmebakia kulia na kusaga meno tuh..unacheza na dola hujitaki kima wewe
BIG SHOW NI GENGE LA RAIA FEKI WALIO FANIKISHA AJENDA YA KUFANYA STATE CAPTURE..THEIR DAYS ARE NUMBERED.Watu wenyewe ndo hawa unawaona humu kina big show na wenzake muda wote kuzungumzia udini sasa akili watatoa wapi?
Wamejaza upumbavu tu kichwani
Ukitaka kujua Samia na watu wake ni wauaji na hawana akili angalia tu maneno yao namna wanavyojaribu kujustify kufanya mauaji.BIG SHOW NI GENGE LA RAIA FEKI WALIO FANIKISHA AJENDA YA KUFANYA STATE CAPTURE..THEIR DAYS ARE NUMBERED.
Unarudiaga kauli kuwa ingekuwa ni genocide, Samia angekuwa muda huu ameshitakiwa na kuhukumiwa. Tuambie katika mifano yako hiyo ya genocide, ni upi ambao mshitakiwa alishitakiwa na kuhukumiwa ndani ya miezi 3 toka tukio analoshitakiwa nalo kutokea.Saddam alikamatwa kesi ikasikilizwa akanyongwa.
Wale wahutu kule Rwanda kila wanapokamatwa wanashtakiwa.
Wale wauaji wa Hitler waliendelea kukamatwa mmoja mmoja duniani pote walipokimbilia na kushtakiwa.
Tofautisha genocide na crime against humanity, hiyo ya pili inatokea dunia nzima kila mahali.
Kule USA mpaka wanafunzi wa shule za msingi wanaua darasa zima, mtu akichukia anachukua tu bunduki na kupiga risasi wote wanaokuwemo ndani ya supermarket.
Hayo ni mauaji dhidi ya ubinadamu, kwa kesi za namna hiyo Rais anapounda tume ni lazima taasisi inayotaka kumshtaki na yenyewe iunde tume zije zifanye kazi kwa pamoja.
Noma ni Genocide huwa ushahidi ukipatikana haichelewi kuanza kusikilizwa kesi, genocide hata tume ya rais inakuwa haina msaada wowote kwake, lazima apelekwe The Hague.
Akili ya kukujibu hayo aitoe wapi?Unarudiaga kauli kuwa ingekuwa ni genocide, Samia angekuwa muda huu ameshitakiwa. Tuambie katika mifano yako hiyo ya genocide, ni upi ambao mshitakiwa alishitakiwa na kuhukumiwa ndani ya miezi 3 toka tukio analoshitakiwa nalo kutokea.
Tume ya Chande imeua matumaini yote ya ICC.
Gen Z wangechukua Nchi siku ya piliBila shoot to kill ingekuwa vigumu kudhibiti zile vurugu zilizolipuka mikoa zaidi ya 5 kwa wakati mmoja. Bila shoot to kill sasa hivi tungekuwa ni Sudan nyingine
Endelea kuota.Tume ya Chande imeua matumaini yote ya ICC.
Damu za watu ni nzito sana na zinalevya kuliko k vantHuwa namshangaa sana huyu mama! Hivi hana hata ile akili ndogo ya kujua aongee nini na aache nini kutokana na mazingira yaliyopo?
Wewe unajua kabisa umeshtakiwa, una kesi ambayo uchunguzi unaendelea, halafu kila ukipewa nafasi ya kuongea unatoa kauli za kithibirisha kuwa wewe ndiye uliwatuma wauaji!!