Tony Blair kaja kumwona Mama Samia? Nina Masikitiko!

Tony Blair kaja kumwona Mama Samia? Nina Masikitiko!

Iraq na Tanzania ni cases mbili tofauti kabisa! Tatizo baadhi ya Watanzania wanapenda "Mboka ya makambo". Tuache maneno mengi. Tumuache Rais aongoze. Rais ni taasisi. Msiichukulie nchi yetu kirahisi. Historia ya Tanzania kimataifa ilikwisha jenga na Mwalimu Nyerere. Nchi hii ina heshima kubwa duniani.
Ukiwa muuaji wenzetu wana misimamo inayoeleweka.
Mugabe wa Zimbabwe na Bashir wa Sudan hawakupokekewa popote Ulaya kwa kuwa seriksli zso xiliua watu.
 
Kwa kawaida hawa viongozi wa wazungu huwa wanawaalika kwao watawala wa Afrika ambao hawajielewi.Watawala ambao wameamua kuishi kupigia magoti 'wajomba' ili kuhemea vibaba katikati ya utajiri mkubwa uliowazunguka.Kiufupi hujenga uswahiba na watawala goigoi na shortsited katika kujikomboa.

Sent from my M100 using JamiiForums mobile app
 
Hapo ndipo napoipenda JF kwa data zake sahihi.....safi aana heshima kwako
united-nations-chief-arms-inspector-hans-blix-is-greeted-by-the-prime-picture-id828552452

Hans Blix UN Arms Inspector aliyesema hakugundua silaha zozote huko Iraq(Weapons of Mass Destruction)
Kwa kifupi alimkanusha Blair kwamba wanaiongopea Dunia kusema Iraq kuna Weapons of Mass Destruction wakati yeye alienda huko hakupata ushahidi wowote.


“In his report to the UN Security Council on 14 February 2003, Blix claimed that "so far, UNMOVIC has not found any such weapons [of mass destruction], only a small number of empty chemical munitions."[6]

In 2004 Blix gave a statement that "there were about 700 inspections, and in no case did we find weapons of mass destruction."[7]

Blix's statements about the Iraq WMD program came to contradict the claims of the George W. Bush administration,[8] and attracted a great deal of criticism from supporters of the invasion of Iraq. In an interview on BBC 1 on 8 February 2004, Blix accused the US and British governments of dramatizing the threat of weapons of mass destruction in Iraq, in order to strengthen the case for the 2003 war against the government of Saddam Hussein. Ultimately, U.S. troops found no active manufacturing of weapons of mass destruction, but found roughly 5,000 chemical warheads, shells, or aviation bombs that had been manufactured prior to 1991.[9][10]

In an interview with The Guardian newspaper, Blix said, "I have my detractors in Washington. There are bastards who spread things around, of course, who planted nasty things in the media."[11]

In 2004, Blix published a book, Disarming Iraq, where he gives his account of the events and inspections before the coalition began its invasion.”
~Wikipedia
 
Hivi taifa kama USA (Super power) kupigwa kwa aibu vile ile 9/11 ulitegemea wafanye nini?? Wachekecheke tu?? Measures walizochukua ilikuwa ni kuwaonesha hao jamaa wao ni super power na siyo wa kuwachezea chezea!! Wangewachekea wale waarabu leo hii wangekuwa ni punching bag ya magaidi duniani!! Desperate times require drastic measures...
 
Hivi taifa kama USA (Super power) kupigwa kwa aibu vile ile 9/11 ulitegemea wafanye nini?? Wachekecheke tu?? Measures walizochukua ilikuwa ni kuwaonesha hao jamaa wao ni super power na siyo wa kuwachezea chezea!! Wangewachekea wale waarabu leo hii wangekuwa ni punching bag ya magaidi duniani!! Desperate times require drastic measures...
Huo ni ujinga, aliyekupukutisha ni Saidi ya Saudi Arabia, halafu unampiga Abdalla wa Iraq.
 
Tony Blair ni Hazina ya Uingereza.
Binafsi nimefarijika sana kwa Rais wangu Samia kukutana na mtu mashuhuri kama huyu Blair.
Hii inathibitisha kuwa nchi yetu ya Tanzania sasa inaendelea kujiimarisha ktk diplomasia na mashirikiano na mataifa makubwa duniani.
Tanzania haiwezi kujitenga, ili tuweze kupiga hatua ktk maendeleo ni lazima tushirikiane na kila Taifa ktk Sayari hii, Tajiri au Masikini.
ni ujinga kufikiria eti kwa kuwa Uingereza ilishiriki vita kuu ya Dunia dhidi ya Ujerumani basi eti tusishirikiane nae ala!!.....huo ni utoto
eti kwa kuwa Tanzania ilivamia Uganda mwaka 1977 eti tusishirikane nao ala!!....huo ni utoto.
waswahili wanasema yaliyopita sio ndwele tugange yajayo.............
 
Jana kwa TV nikashtuka nikafikiri ni Boris ala kumbe mstaafu mwenzetu kaja kutalii.
 
Hivi huyu waziri si ndio alipatiwa ofa ya kuolewa na hayati Mugabe
 
Hiyo ya Saudi Arabia kampiga umeitoa wapi?
Washington, DC(CNN)The Federal Bureau of Investigation on Saturday released the first of what is expected to be several documents related to its investigation of the 9/11 terrorist attacks and suspected Saudi government support for the hijackers, following an executive order by President Joe Biden.

The newly declassified document, which is from 2016, provides details of the FBI's work to investigate the alleged logistical support that a Saudi consular official and a suspected Saudi intelligence agent in Los Angeles provided to at least two of the men who hijacked planes on September 11, 2001.
 
Anakuja kuona maendeleo ya chanjo na labda kututaadharisha kuwa kuna fourth wave coming soon.
 
Back
Top Bottom