Tony Blair kaja kumwona Mama Samia? Nina Masikitiko!

Kwa mikopo tuliyopatiwa wiki mbili hizi zilizopita, bila shaka kukubaki ushoga ndiyo itakuwa dhamana yake.
Tanzania haiwezi kuunga mkono NDOA ZA JINSIA MOJA....pamoja na kuwaheshimu watu wote....pamoja na kuheshimu Uhuru wa faragha...

Ila....

Tanzania haitoingiza kipengele cha huria ya ndoa za jinsia moja ndani ya KATIBA yake....
 
Wakati anaufanya huo uhalifu wa kivita MI6 na wengine wanaosimamia maslahi ya nchi yao walimpinga Waziri Mkuu Tony Blair?!!

Unataka kusema Tony Blair alikwenda kinyume na msimamo wa sera za nje za uingereza?!!!

Kama ndivyo leo tumeona MAREKANI imeondoka AFGHANISTAN bila ya washirika wao wengi kupenda....ila nao wameondoka(Uingereza)....je leo waziri mkuu wa Uingereza bado ni Tony Blair?!!!

Kumbe ni mhalifu wa kivita mbona hawaendi kumfungulia kesi mahakamani hapo Uingereza na kushinda kesi kule ICC?!!

Kama hakuna kipengele cha kumfungulia kesi ndani ya mahakama za Uingereza basi ndio ujue kuwa TONY BLAIR ALIENDANA NA SERA ZAO ZA MAMBO YA NJE(kwa kipindi kile)....
 
Tanzania haiwezi kuunga mkono NDOA ZA JINSIA MOJA....pamoja na kuwaheshimu watu wote....pamoja na kuheshimu Uhuru wa faragha...

Ila....

Tanzania haitoingiza kipengele cha huria ya ndoa za jinsia moja ndani ya KATIBA yake....
HOJA HAPA NI UGENI WA BLAIR, tukianza kubagua wageni, basi hata sisi tusiende kwa nchi za wenzetu wenye mfumo wa UTAWALA BORA, kwa sasa tunanuka kwa kubambika watu kesi za ugaidi na uhujumu uchumi na pia kutoheshimu sanduku la kura bali tunaheshimu nguvu ya Polisi na TISS. Kwa wenzetu tusiende.
 
BG, na Ophir ni makampuni makubwa ya gesi ya Uingereza yenye vitalu vyake deep sea Mtwara
Nikwel walikuwepo kipindi cha mkwere, Maguful alivyo ingia aliwatimua ukienda mtwara utakuta majengo tu yame telekezwa, Magufur aliwaambia haya tambui makubaliano waliyo ingia na serikal ya awam ya 4. Lakin sasaivi watakuja tena, na WA China wa Bandar Wana kuja. Aliye kuwa ana wakwamisha hayupo
 
Kwa style hii basi hakuna kiongozi wa nchi kubwa tutamkaribisha hapa nchi, maana karibia wote wameshiriki kuleta kadhia duniani kwa namna moja ama nyingine! May be pope pekee anaweza kuwa mkamilifu
 
Ndio
Utajua hii nchi Haina maslahi ya Taifa, kuna maslahi ya CCM na maslahi ya wanasiasa wake wakubwa
 
Mwingine pamoja na mauchafu yake yote anaenda kuzawadiwa mkoa tarehe 14
 
Ndio

Utajua hii nchi Haina maslahi ya Taifa, kuna maslahi ya CCM na maslahi ya wanasiasa wake wakubwa
Nikwel sasaivi tutaanza kuwaona wa China Kwa wingi na Tembo wetu wataanza kuuliwa kama zaman Maana wa China walivyo wezi na masikin watatuibia kweli na kutuacha na ufukara wetu, Bora mabeberu Tunge wapa Bandar ya bagamoyo ata wakija kutuachia inafaha Kwa matumizi, siyo Kwa Wachina watajenga Bandar wakija kuondoka inakuwa haifai tena maana watejanga Kwa ujanja ujanja ifika miaka 99 majengo haya fai tena inabid yavunjwe ya jengwe upya.
 
Hoja ya kipuuzi.

Hatujawahi kumkataa kiongozi yeyote toka mataifa hayo makubwa, iwe wakati wa Mwalimu au wakati mwingine yeyote.
 
 
Hoja ya kipuuzi.

Hatujawahi kumkataa kiongozi yeyote toka mataifa hayo makubwa, iwe wakati wa Mwalimu au wakati mwingine yeyote.
Huyo sio kiongozi ni mhalifu wa kivita alitakiwa the Hague
 
Mikopo mkuu tunabembeleza tujenge madarasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…