Aneel munawar
JF-Expert Member
- Aug 1, 2017
- 4,861
- 8,525
Kuhusu muziki wa hiyo midude ya rangi muulize Kalpana atakupa mkanda mzima πππNinachokupendea hujawahi kukataa asili yenu..!!
Kwahiyo hiyo midude ya rangi inaingia tumboni? πΉπΉπΉ
Mkinga mwenzangu kazoea bumunda na ndosa, huo ugali atauweza kweli kuupika na kula?? π€£πΉ
Hapa jirani yangu kuna house girl katoroka kisa kupikishwa ugali wa njemba 4 z kisukumaKuhusu muziki wa hiyo midude ya rangi muulize Kalpana atakupa mkanda mzima πππ
Kuupika ugali wa Kisukuma ni mtihani. Eti upike ugali wa njema 10 zimetoka kulima huko siku nzima? Aaaa wapi! Mkinga mbona utakumbuka kurudi Kariakoo mapema tu?
Alikuja shemeji wa Kinyaki mpaka akawa analia yaani nikawa naingia jikoni kumsaidia; au nambembelezea kwa mawifi zake ili wamsaidie. Akaja kuletwa binti mmoja mwalimu wa Kizaramo na mpwa wangu mmoja hivi ohooo! Huyu aliondoka bila kuaga. Kuja kumbananisha akaniambia anko hapo kwenu naweza kufanya kila kazi isipokuwa tu kupika ugali wa wanaume...
Vu bin vu ni mwenyewe nikapeleka pisi ya Kichaga kipindi fulani hivi (Mama E usicheke!). Yenyewe ikawa smart ilipoambiwa kupika ugali ikamuita chemba wifi yake mmoja ikamkatia 50K na mkataba ukafungwa kuwa haitakaa ipike ugali hasa wa wanaume. Rushwaaaaaaa!
Mpwa wangu Aaliyyah sijui amejiandaaje masikini na mtanange huu wa kupika ugali wa kuliwa na wanaume wa Kisukuma maana ugali ukiwa mlaini hata kiduchu tu hawali. Ni lazima uwe mgumu kama jiwe, uive vizuri na uwe wa motooooooooo!
β‘οΈβ‘οΈβ‘οΈ Akanaye asili yake huyo ni mtumwa πππ
Hajakosea mleta mada. Unless hujawahi kuishi usukumani ni balaaNilihisi tu kwenye orodha lazima Wasukuma watashika namba 1.
Ila sina hakika kama ni ukweli unaoungwa mkono na tafiti β¦
Wasukuma wako na minguvu usiwalinganishe wanaume wa Darπ€¨Mko poa?
Nimebahatika kuishi na jamii nyingi za kitanzania, na hii ndio top ten yangu ya makabila yanayoongoza kwa kula chakula kingi hapa Tz.
1.Wasukuma
2.Wanyakyusa
3.Wasafwa
4.Wajita
5.Wahaya
6.Waha
7.wajaluo
8.wakurya
9.wangoni
10.wagogo
Hahahaa!Nako kutokula siyo sifa, watu wanatumia energy kubwa katika katika shughuli zao za kiuchumi lazima wale chakula cha kutosha. Nature ya kazi zao Hauwezi ukawlfananisha na wale wanasubiri wazungu wawainyeshe picture za wanyama au njia za kwenda milimani au wanaosubiri uwape mchongo wakuibie au wakudhurumu
Napafahamu hapaHahahaa!
Ila Wasukuma banaβ¦..kuna aina flani ya ustaarabu iliyowapiga chenga!
Hapa Bariadi mjini kuna eneo linaitwa Kidinda.
Kila Jumanne huwa kuna mnada wa mifugo.
Sambamba na mnada huo huwa wanachinja na kuchoma nyama [sana sana mbuzi na kondoo].
Unaweza kununua sahani yako ya nyama choma na ukakaa hapo hapo na kula.
Kama ni mgeni, ni vyema mtu usiende peke yako.
Kuna watu huwa wanaenda hapo mnadani kwa lengo la kula tu.
Na siyo kula kwa kununua wao hizo nyama choma.
Ni kula kwa kudoea.
Ile ukitengewa tu sahani yako, utaona hao wanakuja na kuanza kusimama karibu na ulipoketi.
Sasa hapo wenzio wanakusoma tu waone kama watajisogeza ili wale na wewe.
Mwishowe utaona mmoja anajisogeza kabisa na kukusalimia kama ndugu yako na kuanza kula bila hata ya kumkaribisha π€£.
Kama huwajui jinsi walivyo, unaweza ukapaniki sana. Ila wenzako ndo wako hivyo na hawaoni ubaya wowote ule kuanza kula chakula chako bila hata kukaribishwa au kunawa mikono.
View attachment 3376748
Kweli mkuu mtoa mada ana mental disorder. Waha na ulafi wapiHapo WAHA unawaonea nimekaa sana na WAHA sio walaji sana.
Mkuu mapoti wengi wanakula sana sasa ukichanganya na usukuma hapo lazima chakula kitapata tabu sana..Kuna jamaa angu msukuma ni poti,jana nikamtembelea kwake,jamaa akarusha nguna kubwa nikajua ni ya watu 8 kumbe ni ya watu wawili,tumeipiga wee ,me nikasanda,mshikaji kiutani akaifyeka ile nguna halafu akashushia na jagi la maji.nikajisemea huyu fala hapa kwake debe la mahindi ni siku tatu tu linakata
Wakurya ajabu hula sana ila hawanenepi sijui kwa nini?pia nilitaka niseme, hivi nawajua wakurya huyu?
Nahene lolo..πππKuhusu muziki wa hiyo midude ya rangi muulize Kalpana atakupa mkanda mzima πππ
Kuupika ugali wa Kisukuma ni mtihani. Eti upike ugali wa njema 10 zimetoka kulima huko siku nzima? Aaaa wapi! Mkinga mbona utakumbuka kurudi Kariakoo mapema tu?
Alikuja shemeji wa Kinyaki mpaka akawa analia yaani nikawa naingia jikoni kumsaidia; au nambembelezea kwa mawifi zake ili wamsaidie. Akaja kuletwa binti mmoja mwalimu wa Kizaramo na mpwa wangu mmoja hivi ohooo! Huyu aliondoka bila kuaga. Kuja kumbananisha akaniambia anko hapo kwenu naweza kufanya kila kazi isipokuwa tu kupika ugali wa wanaume...
Vu bin vu ni mwenyewe nikapeleka pisi ya Kichaga kipindi fulani hivi (Mama E usicheke!). Yenyewe ikawa smart ilipoambiwa kupika ugali ikamuita chemba wifi yake mmoja ikamkatia 50K na mkataba ukafungwa kuwa haitakaa ipike ugali hasa wa wanaume. Rushwaaaaaaa!
Mpwa wangu Aaliyyah sijui amejiandaaje masikini na mtanange huu wa kupika ugali wa kuliwa na wanaume wa Kisukuma maana ugali ukiwa mlaini hata kiduchu tu hawali. Ni lazima uwe mgumu kama jiwe, uive vizuri na uwe wa motooooooooo!
β‘οΈβ‘οΈβ‘οΈ Akanaye asili yake huyo ni mtumwa πππ
Ushawahi kwenda hapo mnadani?Napafahamu hapa
Nimekuja hapa kuwatafuta Wasukuma na kweli ninewakuta namba moja πππMko poa?
Nimebahatika kuishi na jamii nyingi za kitanzania, na hii ndio top ten yangu ya makabila yanayoongoza kwa kula chakula kingi hapa Tz.
1.Wasukuma
2.Wanyakyusa
3.Wasafwa
4.Wajita
5.Wahaya
6.Waha
7.wajaluo
8.wakurya
9.wangoni
10.wagogo
GΕ«lya ng'wampanga baba ππΏNimekuja hapa kuwatafuta Wasukuma na kweli ninewakuta namba moja πππ
Pyee shilewa, mandege, manyama, manumbuuu...
Mnyantuzu π―% mimi!Hajakosea mleta mada. Unless hujawahi kuishi usukumani ni balaa
Jamani hata wewe mzee mwenzangu unatushushua? Makubwaaaa!Hao watani zangu hapo namba moja wako kihalali kabisa.