Mkuu pia kuna uhaba wa vitabu vya passport toka mwezi wa nne mwaka huu, jamaa yangu wa uhamiaji hata hajui lini vitaletwa.!!!!
Unaambiwa ukiona adui anakosea usimshtue[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] acha tu huyu adui wa taifa aendelee kukosea.Watu wataalamu wamekaa kimya sijui kwanini
Ni yeye mwenyewe ndiye his worst enemy kwa sababu ameshika mpini na watendaji wengine wanaenda kutokana na flow ya mchinjaji.Magufulis worst enemy sio upinzani bali his most inner most circle.
Washauri, washauri, washauri!!! Ni lini tutasema rais? Ushauri una mipaka, je huyo unayempa ushauri anapenda kushauriwa na anaufanyia kazi ushauri?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] daah Kikwete ni bonge kiongozi nasikitika sikuliona hilo wakati wake, nilimtukana kwa uhuru masikini ya mungu hakunifunga bali alitabasamu kisha nae akanipiga jungu basi hayo ndo yakawa maisha yetu ila sikuwahi kuisoma namba.... Jakaya I mic u, ntakutembelea Msoga.Tulieni Mnyooke!
Wakati wa JK mlidhani mambo yanajiendea tu ndio sababu mliimbishwa nanyi Mkaitikia kiitikio eti Kuna Ombwe la Uongozi.
Bandari ilipovamiwa kwa Mbwembwe mkashangilia mlidhani anakomolewa Jakaya. Magari yamepungua kutoka 3,500 mpaka 1,500 na bado mpaka itafika 500 kwa siku.
Sasa Chanjo kadhaa zimeanza kuadimika.
Lazima Mnyooshwe na mtanyooka Tu.
Mapumziko Mema Rais Mstaafu Kikwete kuna watu walidhani wakati wako Mambo yanajiendesha tu!
Mount Meru ipo Mnadani inauzwa kwa kukosa wateja
Zingine zinageuzwa Hostel bila ya kujua Pass mark zimeongezwa kupunguza Wanafunzi Vyuo vikuu.
Wa Vietnam wamefika Dar Jana wameenda mpaka Msoga kuchota Hekma halaf kuna Vichaa walitufundisha eti ni Rais Dhaifu.
Naupenda sana Utawala na Leadership style ya Magufuli kwa kuwa inathibitisha nilichokuwa naamini Juu ya Jakaya Kikwete.
Wale walioruhusiwa kufanya Siasa kwa uhuru walituaminIsha wanafanya hivyo kutokana na Ujasiri na uthubutu wao sio Utashi wa Rais Leo hii wote wamefyata na Mwanamume Mmoja anazunguka Nchi nzima kupiga Mikutano
Wana zuiya watu wasitoke nje wakidhan wanahamisha pesa,Mkuu pia kuna uhaba wa vitabu vya passport toka mwezi wa nne mwaka huu, jamaa yangu wa uhamiaji hata hajui lini vitaletwa.!!!!
Acha siasa zako ww uchumi hauhitaji siasaSijaangalia taarifa ya habari leo ila kamati haiwezi kuhoji TRA eti mnapata wapi fedha za kodi wakati hakuna mahali ktk nchi ambako hapaingizi mapato.
kodi inalipwa tena kwa sasa maeneo mengi kodi na malipo yasiyokuwa ya kodi yanalipwa kwa njia ya mtandao na wizi umepungua sana na mapato yamepanda sana.
Hayo ya TPA wenye mamlaka watatoa taarifa kama kuna shida.
Naomba tuwe na positive thoughts itatusaidia ktk kujenga nchi yetu
Tunachoangalia cyo nani anamiliki bali tuangalie kwanini inauzwaKwani hatahivyo tokea Mt.Meru hotel iliporekebishwa na kuanza kazi mpaka sasa mwenye hisa kubwa si jamaa wa Mauritius then Mkenya?
Hiyo ya kusema ni mali ya watanzania ni danganya toto.
Ni sawa na Tajiri anayeacha kufanya biashara ili kuwakomoa wanaomdokolea.....matokeo yake anafilisika...ukimuuliza anakwambia 'nimewakomoa waliokuwa wananidokolea'Tatizo lakuendesha nchi kwa hofu ya kuhujumiwa!!!
Hapo hakuna siasa la msingi weka data hadhani tujadili siyo maneno tu bila dataAcha siasa zako ww uchumi hauhitaji siasa