Hio 43kph yako ni average speed, ili uipate hio inabidi utembee 70-80kph maanake kuna matuta,kusimama kula,kusimamishwa na polisi maeneo mbalimbali etc. Kwa bus la abiria ni sawa kabisa.Kutoka dsm hadi same ni KM 349.. kama unatakiwa ufika Same saa 7 that means unatakiwa utembee speed ya 43 km per hr
Sheria ya wapi ya kipuuz hivyo? S mwendo wa Baiskel huu??
Hilo bus walili 'tune' hao wenye gari ndogo ndio wenye bus hapo walikuwa wnalitest.jamani basi zamani zulikua zinakimbia sio poa
Hii kamba mjarabu!!Hata singida Kuna muda wa kuingia kama basi limetoka dar,kama nakumbuka vizuri ni saa 10!So madereva walikuwa wakiwahi basi wakikaribia wanaenda kama wanasindikiza harusi au msiba!
Kabla ya hapo,Kuna bus kama Ally's kipindi hicho 12 ziko Kahama,Kuna siku tuliwahi fika Kahama saa 11:30 jioni kutokea Dar!
Una umri gani?Yawezekana ulikuwa mtoto!Hii kamba mjarabu!!
Buffalo Ilikuwa inatoka Dar,halafu watu wanakatishiwa tiketi Arusha kuwa bus inaondoka saa 7:30!Na kweli inafika Arusha,inapakia na saa 7:30 inakuwa njiani inarudi DSM!Kipindi yanaondoka dsm saa 12 Asubuh yanafika moshi saa sita/saba hivyo vituo na mizan hazikuwepo?
Hivi nyie watu mko serious? Shinyanga mjini saa 11:00 jioni?!Hao Ally's bus kipindi hicho ilikuwa hatari tupu, nshawahi ingia Shinya ga stand saa 11.00 jioni from DSM.
Ishu ni Barbara zetu cio nzuri Kwa iyo speed unayotaka ww,tutafika tu huko Cha msingi ni usalama wa abiria kwanza,abiria wengi Wanakuwa wasaliti pale gari ipatapo ajali wanaanza kusema dereva alikuwa speed lakn hawakusema apunguze mwendo.Tanzania upumbavu umetawala..wakati wenzetu wakipambana kupunguza masaa ya kusafiri ili kuwafanya watu waendelee na shughuli zao sisi ndo tunalazimisha watu wasafiri safari ya masaa 6 kwa siku nzima.
Kumbuka kuna VTS inayomlimit dereva kuzidi 85 speed sasa kwanini bado wanazidi kuwabana wakati huko kote kuna trafiki na vizibiti mwendo upo..sema tu wamekosa maarifaIshu ni Barbara zetu cio nzuri Kwa iyo speed unayotaka ww,tutafika tu huko Cha msingi ni usalama wa abiria kwanza,abiria wengi Wanakuwa wasaliti pale gari ipatapo ajali wanaanza kusema dereva alikuwa speed lakn hawakusema apunguze mwendo.
Mambo ni rahisi na ni sayansi wala si uchawi. Wakifuata utaratibu na kwenda kwa spidi inayotakiwa, hakutakuwa na kusimama njiani kusubiri.Hata singida Kuna muda wa kuingia kama basi limetoka dar,kama nakumbuka vizuri ni saa 10!So madereva walikuwa wakiwahi basi wakikaribia wanaenda kama wanasindikiza harusi au msiba!
Kabla ya hapo,Kuna bus kama Ally's kipindi hicho 12 ziko Kahama,Kuna siku tuliwahi fika Kahama saa 11:30 jioni kutokea Dar!
Allys Sports bus amefanya hizo mara nyingi tu...Nyegezi kufika saa 1 jioni au 2 usiku toka Dar. Hapo Shinyanga enzi hizo gari zinaingia bado jua halijazama.Hivi nyie watu mko serious? Shinyanga mjini saa 11:00 jioni?!
Tumesafiri miaka ya nyumba same zinaingia saa nne kutokea dsm.. saa saba watu wako ArushaHio 43kph yako ni average speed, ili uipate hio inabidi utembee 70-80kph maanake kuna matuta,kusimama kula,kusimamishwa na polisi maeneo mbalimbali etc. Kwa bus la abiria ni sawa kabisa.