Trafiki aliyekataza mabasi ya Dar kuingia Same kabla ya saa bado yupo ofisini? Kwanini kizuizi kiwe Same na sehemu nyingine?

Trafiki aliyekataza mabasi ya Dar kuingia Same kabla ya saa bado yupo ofisini? Kwanini kizuizi kiwe Same na sehemu nyingine?

Kutoka dsm hadi same ni KM 349.. kama unatakiwa ufika Same saa 7 that means unatakiwa utembee speed ya 43 km per hr

Sheria ya wapi ya kipuuz hivyo? S mwendo wa Baiskel huu??
Hio 43kph yako ni average speed, ili uipate hio inabidi utembee 70-80kph maanake kuna matuta,kusimama kula,kusimamishwa na polisi maeneo mbalimbali etc. Kwa bus la abiria ni sawa kabisa.
 
check na hilo apo
 
Attachments

  • Maning_Nice(360p).mp4
    2.4 MB
  • TBT._Maning_Nice_ikinyoosha_Mguu_Kusini_huko(360p).mp4
    2.3 MB
Hata singida Kuna muda wa kuingia kama basi limetoka dar,kama nakumbuka vizuri ni saa 10!So madereva walikuwa wakiwahi basi wakikaribia wanaenda kama wanasindikiza harusi au msiba!
Kabla ya hapo,Kuna bus kama Ally's kipindi hicho 12 ziko Kahama,Kuna siku tuliwahi fika Kahama saa 11:30 jioni kutokea Dar!
Hii kamba mjarabu!!
 
Kipindi yanaondoka dsm saa 12 Asubuh yanafika moshi saa sita/saba hivyo vituo na mizan hazikuwepo?
Buffalo Ilikuwa inatoka Dar,halafu watu wanakatishiwa tiketi Arusha kuwa bus inaondoka saa 7:30!Na kweli inafika Arusha,inapakia na saa 7:30 inakuwa njiani inarudi DSM!
 
Hao Ally's bus kipindi hicho ilikuwa hatari tupu, nshawahi ingia Shinya ga stand saa 11.00 jioni from DSM.
Hivi nyie watu mko serious? Shinyanga mjini saa 11:00 jioni?!
 
Tanzania upumbavu umetawala..wakati wenzetu wakipambana kupunguza masaa ya kusafiri ili kuwafanya watu waendelee na shughuli zao sisi ndo tunalazimisha watu wasafiri safari ya masaa 6 kwa siku nzima.
Ishu ni Barbara zetu cio nzuri Kwa iyo speed unayotaka ww,tutafika tu huko Cha msingi ni usalama wa abiria kwanza,abiria wengi Wanakuwa wasaliti pale gari ipatapo ajali wanaanza kusema dereva alikuwa speed lakn hawakusema apunguze mwendo.
 
Kumbuka kuna VTS inayomlimit dereva kuzidi 85 speed sasa kwanini bado wanazidi kuwabana wakati huko kote kuna trafiki na vizibiti mwendo upo..sema tu wamekosa maarifa
 
Hata singida Kuna muda wa kuingia kama basi limetoka dar,kama nakumbuka vizuri ni saa 10!So madereva walikuwa wakiwahi basi wakikaribia wanaenda kama wanasindikiza harusi au msiba!
Kabla ya hapo,Kuna bus kama Ally's kipindi hicho 12 ziko Kahama,Kuna siku tuliwahi fika Kahama saa 11:30 jioni kutokea Dar!
Mambo ni rahisi na ni sayansi wala si uchawi. Wakifuata utaratibu na kwenda kwa spidi inayotakiwa, hakutakuwa na kusimama njiani kusubiri.
 
Vipi lile zoezi la police kusindikiza mabus Ili yasipate ajali bado linaendelea?
 
Hivi nyie watu mko serious? Shinyanga mjini saa 11:00 jioni?!
Allys Sports bus amefanya hizo mara nyingi tu...Nyegezi kufika saa 1 jioni au 2 usiku toka Dar. Hapo Shinyanga enzi hizo gari zinaingia bado jua halijazama.
 
Hio 43kph yako ni average speed, ili uipate hio inabidi utembee 70-80kph maanake kuna matuta,kusimama kula,kusimamishwa na polisi maeneo mbalimbali etc. Kwa bus la abiria ni sawa kabisa.
Tumesafiri miaka ya nyumba same zinaingia saa nne kutokea dsm.. saa saba watu wako Arusha
 
Duu wapo mitaa ya kandoto girls na check point pale...n balaaa
 
Back
Top Bottom