Kwani Gaidi ni nani? Alqaaeda , Hamas, Hezbollah, ISIS ni magaidi?Kazi imeisha, nuclear programs hazipo tena na Ayatollah sijui kama atakuwa na hamu au nguvu ya ugaidi tena, time to rebuild na kuacha kuishi zama za mawe
Sawa mkuu ngoja nisinzie kwa Sasa tutarejea Tena PANAPO MAJALIWA TENAAKwa ububusa tukubaliane na ''definition yako'' . Je, anayetengeneza Magaidi naye ni Gaidi? au Gaidi ni yule anayetekeleza! Kumbuka neno '' Uhalifu siyo Uharifu''
Israel ina silaha za maangamizi, nayo ni Gaidi? Mabomu yaliyotumika leo ni ya maangamizi, US nayo ni magaidi?
Kujitoa mhanga una maanisha '' kamikazi''?
USA ni moja ya silaha za Israel, kama haukuwa ukilifahamu hilo now you know.Baada ya kuona Israel kashindwa vita ndo kaja kumsaidia
Kukujibu vibaya mwanamke mrembo kama wewe ni kujiaibisha.Acha uzwazwa ww kua mkristo sisi ina tuhusu nini kwani hii ni vita ya uislam vs ukristo!?
Sema Iran kabondwa na israhell full stop ayo mengine ni juu Yako
Wameondoa wapi? Kwamba Iran ataondoa alafu israel au usa asijue? Yan waweze kuvamia chumban kwako na kukuua washindwe kijua ukihama? Mnamatatizo ya akili ya nyieWameondoa kila kitu si ajabu sasa ndio wamempaa kama green light ya kutengeneza Nuclear Boom na wao walikuwa hawana plan hio.
Kwa hiyo wewe una taarifa nyeti za Iran kuliko USA?Iran aliondoa kila kitu kwenye Nuclear ya Fordow nuclear facilit na karibu zote Nuclear zake hivyo USA hakuna alicho gain zaid ya kudestroy sehemu ndogo ya
Fordow nuclear
Tusubiri majibu ya mpambe wake Russia, maana kobazi wanaamini katika maneno .
Iran ilitangaza kuviondoa vitu muhimu kuvipeleka kusikijulikana siku nyingi sana ,na hizo sites zilishashambuliwa mara kadhaa 🤣Kwa hiyo wewe una taarifa nyeti za Iran kuliko USA?
Atatengeneza fordow nyingine baada ya miaka 100Iran ilitangaza kuviondoa vitu muhimu kuvipeleka kusikijulikana siku nyingi sana ,na hizo sites zilishashambuliwa mara kadhaa 🤣
USA pia anajua hakupata lolote sa atasema nime failedKwa hiyo wewe una taarifa nyeti za Iran kuliko USA?
Tulia poronjo weweYani huenda italeta ww3. Ngoja niende kulala. Nikiamka ntakutana na kina gTurn gallow bird Adiosamigo dem boy green rajab na dogo adriz yameamka
Kitu kimoja ambacho unapaswa kufahamu ni kuwa kupigania haki na usawa ni jambo muhimu lakini lazima uwe na plans kwani what rules are the laws of the jungle, kulialia hakusaidii bali you have to fight and fighting strategically is the only way.Kuna vitu Watanzania hawavielewi na wewe ni mmoja wapo
Baada ya Trump kuvunja JCPOA Iran ikaendelea kurutubisha uranium kwasababu hakuna mkataba tena.
Hicho ndicho UN Atomic agency wanasema
Juzi , kiongozi wa Atomic Energy amesema hakuna dalili au ishara kwamba Iran inatarajia au imejaribu kutengeneza silaha za Nyuklia.
Watanzania hawajui mambo mengi! hoja hizo mbili ni vitu tofauti
Ingalikuwa hivyo US wasingemtengeneza Osama aliyewapiga wenyewe! Alqaeeda ni zao la Marekani
Makao makuu ya IDF na MOSSAD yapo katikati ya makazi. Zile Iron Dome zipo Tel Aviv kati kati ya makazi
Hospitali iliyopigwa jirani kulikuwa na jengo la Intelligence Unit.
Ultimatum kwa mgonjwa aliye ICU inamsaidia nini?
Tupe ushahidi wa Shule au Hospitali moja iliyokutwa na vifaa vya HAMAS. Israel inasema hawajaona! wewe unasemaje?
Propaganda tu! Russia wana idelogy gani? Ukraine wana idelology gani?
Brazil, Spain, Columbia, Argentina zimelaani kitendo cha Israel! Unajua kwanini nakutajia nchi hizo!
Well, kwa uelewa wako sikulaumu!
Nani anatawala Iraq! Taliban wanatawala nchi gani. Rais wa Syria si aliitwa Gaidi leo Marekani wanakaa naye meza moja. Hebu tuelimishe Gaidi ni nani!
Alishasema tangu juzi 🤣🤣🤣hawasemi uongo 🤣🤣 yaani hata shule tatizo ,nyuklia facilities zipigwe unajua hata athari zake?Atatengeneza fordow nyingine baada ya miaka 100
Haya we ndio una akili unaye dhania US anakuona mpaa time unakwenda kunya hahahaWameondoa wapi? Kwamba Iran ataondoa alafu israel au usa asijue? Yan waweze kuvamia chumban kwako na kukuua washindwe kijua ukihama? Mnamatatizo ya akili ya nyie
Maghayo kachambishe vizee ila ukumbuke kufanya veneering meno hayo.Yani huenda italeta ww3. Ngoja niende kulala. Nikiamka ntakutana na kina gTurn gallow bird Adiosamigo dem boy green rajab na dogo adriz yameamka