MGOGOHALISI
JF-Expert Member
- Apr 16, 2011
- 4,555
- 6,773
Tusubiri malipizi sasa 😭Rais Trump wa Marekani amesema kuwa Marekani imeshambulia site tatu za mitambo ya nyuklia ya Iran
========
Donald Trump has said the US has completed a "very successful" attack on three nuclear sites in Iran.
In a post on Truth Social, the president said the Fordow, Natanz, and Isfahan sites were targeted.
The president's full post reads:
View attachment 3378447
Urusi yenyewe anabeba mpaka wahamiaji haramu anawapeleka Frontline achilia mbali kusaidiwa askari zaidi ya 10000 na North Korea hapo Bado kibaraka wake BelarusHakuna nchi inapigana bila msaada fulani toka nje.
Na amefanikiwa kuchukua mikoa tajiri mitano ukraineUrusi yenyewe anabeba mpaka wahamiaji haramu anawapeleka Frontline achilia mbali kusaidiwa askari zaidi ya 10000 na North Korea hapo Bado kibaraka wake Belarus
😍Mawazo ya kitoto sana hayo, lengo ni kushinda by whatever it takes. Hayo yote yalishapangwa na US ni moja ya silaha ambazo Israel walishajipanga nazo, unapokuwa vitani lazima ujue aina ya silaha za adui na options alizonazo. Mipango na akili ni vitu muhimu zaidi ya kukurupuka na kuhamaki though kiukweli hakukuwa na ulazima wa kuishambulia Iran ndiyo maana imajikuta tu inajibu mashambulizi(it's their right to defend themselves) lakini actual plans za kushinda vita hawana, they'll destroy and cause damages, inflict injuries or kill but they don't have what it takes to win the war na hawana strategies za kushinda.
Allies pia ni silaha muhimu katika vita.
Hawakulenga maeneo ya makazi, wamelenga sites za nuclear; kwasababu ya mionzi ya hayo madude, huaga yanawekwa mbali na makazi ya watu and hence raia kuuawa ni nadra, labda wana jeshi na wenyewe hawaruhusiwi kuingia humo bila kuvaa yale mavazi yanayo zuia mionziDah eti congratulations to our great warriors. Yani hata ajali wangapi wameuwawa hawana hatia.
Yale mazungumzo ya Iran na Marekani yalikiwa kanyaboya tu.Rais Trump wa Marekani amesema kuwa Marekani imeshambulia site tatu za mitambo ya nyuklia ya Iran
========
Donald Trump has said the US has completed a "very successful" attack on three nuclear sites in Iran.
In a post on Truth Social, the president said the Fordow, Natanz, and Isfahan sites were targeted.
The president's full post reads:
View attachment 3378447
Walipeleka Russia??Iran aliondoa kila kitu kwenye Nuclear ya Fordow nuclear facilit na karibu zote Nuclear zake hivyo USA hakuna alicho gain zaid ya kudestroy sehemu ndogo ya
Fordow nuclear
Technology iliotengeneza hizo nudes ni ya Russia and ni Russian army ndio waliofanya yote hayo; as we speak, Russia ndio mwenye ana vichwa vingi vya nuclear kuliko yoyote duniani; wivu utoke wapi hapo? Dunia inataka only wenye akili timamu ndio wamiliki hizo silaha, vichaa hapana. I can predict, Pakistan nao ni suala la muda tu, huko mbeleni huenda nae akanyang'anywaUrusi iliposema inakwenda kuzihifadhi yeye hizo nuclear za Iran ili Israel na marekani waondoe hofu, marekani ikaona urusi itafaidika kwazo ndio ikaamua kuziharibu
Upo sahihiMimi ni mkristo lkn naona Iran inaonewa sana.
Hakuna vita inayopiganwa na nchi moja.Sasa inakuwaje Marekani imeingilia? Super power Israel imeshindwa? 🤣🤣
Huenda ndio wamewapa sababu ya kutengeneza hilo bomu.Yes, sasa hivi watengeneze tu hilo bomu maana hakuna namna tena.
Wakitngneza tena ayatollah Khomeini atakuwa amesign death certificateHuenda ndio wamewapa sababu ya kutengeneza hilo bomu.
Nchi korofi kama Korea Kaskazini nao pia wamepata sababu za kuunda silaha za maangamizi ili kulinda tawala zao.
USA muoga kaoma Iran walegezwa ndo na yeye kaingiliaSasa inakuwaje Marekani imeingilia? Super power Israel imeshindwa? 🤣🤣
Wala hajawachezea.Trump kawachezea Irani mchezo. Siku chache zilizopita alisema ataamua mambo kuhusu Irani wiki mbili zijazo. Kabla ya wiki kuisha kawafyatua mazima.
Mpeni taarifa Mama Samia kuwa kule Iran kobaz wenzie wanakula kipondo !Mimi ni mkristo lkn naona Iran inaonewa sana.