Waisrael wanaenda Cyprus kufanya nini? Hali ya Tel Aviv na Haifa ndio moto unaoongelea?Kwa moto waliopelekewa, nuclear hawatajaribu tena na ugaidi wataacha kabisa, Ayatollah kwenye bunker lake sasa anashukuru mungu maana Israel na US wamepata walichopata hopefully watamwacha
Donald Trump has said the US has completed a "very successful" attack on three nuclear sites in Iran
HAMNA WA KULETA WW3 BADO SANA IRAN DEFENCE BUDGET 4B US 1 TRILLION US IS WAR MACHINE WEWEDuuh hizi mambo mbona kama zinaenda kuleta WW3 .
Mkuu huyo bwana ana habari hata Taliban wako wapi? Hawa watu wanaishi kwenye ''bubble'' yaoKama vile Taliban walivyoacha eeh?
Bila military censorship iliyopo Israel, tungejua mengi kuhusu madhara yanayosababishwa na makombora ya Iran!Waisrael wanaenda Cyprus kufanya nini? Hali ya Tel Aviv na Haifandio moto unaoongelea?
Wanatembezewa kichapo mpaka mfuga mbwa baada ya kujificha kichakani kwa muda mrefu, ameona sasa ajitokeze hadharani kumsaidia mbwa wake asiendelee kuchakazwa.Sasa inakuwaje Marekani imeingilia? Super power Israel imeshindwa? π€£π€£
Trump anahutubia sasa hivi anasema eti Iran is the bully of the Middle East π€£.Wanatembezewa kichapo mpaka mfuga mbwa baada ya kujificha kichakani kwa muda mrefu, ameona sasa ajitokeze hadharani kumsaidia mbwa wake asiendelee kuchakazwa.
All in all, haya Mataifa mawili ya Marekani na Israel ndiyo chanzo cha uovu mwingi duniani. Kuanzia mauaji, vita, ugaidi, ushoga, usagaji, nk! Chanzo chake ni haya Mataifa mawili.
Usitudanganye hapa Israel ampige Iran since when?WW3 kwa Iran?
Jamaa wamepigwa na Israel
Hamna hiyo kitu, ni nchi hiyo tu wanafundishwa kuvaa jinsi badala ya magauni.Duuh hizi mambo mbona kama zinaenda kuleta WW3 .
Mkuu madhara ni makubwa sana. IDF ina operate kutoka Base ya UK iliyopo CyprusBila military censorship iliyopo Israel, tungejua mengi kuhusu madhara yanayosababishwa na makombora ya Iran!
Gaidi ni mtu ambae kwa kujua ama kuto kujua atafanya uharifuuu dhidi ya binadamu kama kutoa uhai wa binadamu wenzake bila huruma, kuharibu miundo mbinu mbali mbali kijamii ,kisiasa na kiuchumi.Kuna vitu Watanzania hawavielewi na wewe ni mmoja wapo
Baada ya Trump kuvunja JCPOA Iran ikaendelea kurutubisha uranium kwasababu hakuna mkataba tena.
Hicho ndicho UN Atomic agency wanasema
Juzi , kiongozi wa Atomic Energy amesema hakuna dalili au ishara kwamba Iran inatarajia au imejaribu kutengeneza silaha za Nyuklia.
Watanzania hawajui mambo mengi! hoja hizo mbili ni vitu tofauti
Ingalikuwa hivyo US wasingemtengeneza Osama aliyewapiga wenyewe! Alqaeeda ni zao la Marekani
Makao makuu ya IDF na MOSSAD yapo katikati ya makazi. Zile Iron Dome zipo Tel Aviv kati kati ya makazi
Hospitali iliyopigwa jirani kulikuwa na jengo la Intelligence Unit.
Ultimatum kwa mgonjwa aliye ICU inamsaidia nini?
Tupe ushahidi wa Shule au Hospitali moja iliyokutwa na vifaa vya HAMAS. Israel inasema hawajaona! wewe unasemaje?
Propaganda tu! Russia wana idelogy gani? Ukraine wana idelology gani?
Brazil, Spain, Columbia, Argentina zimelaani kitendo cha Israel! Unajua kwanini nakutajia nchi hizo!
Well, kwa uelewa wako sikulaumu!
Nani anatawala Iraq! Taliban wanatawala nchi gani. Rais wa Syria si aliitwa Gaidi leo Marekani wanakaa naye meza moja. Hebu tuelimishe Gaidi ni nani!
Kachanganyikiwa lazima awadanganye wamarekani kafanya kitu hawezi kusema kafailedTrump anahutubia sasa hivi anasema eti Iran is the bully of the Middle East π€£.
Bunk busters bila shaka. Likidondoshwa moja tu alikojificha classmate wako Ayatollah basi kwishney!Wamerusha mabomu 30 ya 14 tons each...
Anaomba msamaha maana Iran atavurumisha mvua za mabomu kwenda USA. Muiran sio mchezo. πππππππππmbona hio post ni kama anaomba amani na vita iishe tusubiri kuona damage, wametumia B2?
Acha uzwazwa ww kua mkristo sisi ina tuhusu nini kwani hii ni vita ya uislam vs ukristo!?Mimi ni mkristo lkn naona Iran inaonewa sana.
Wacha weeee ππππKachanganyikiwa lazima awadanganye wamarekani kafanya kitu hawezi kusema kafailed
Iran wanasema hizo 3 Nuclear facilities kuzijenga zinawezekana sababu hazikudhurika sana kitu muhimu wanacho sema wakiobdoa kila kitu na Nuclear program yao ipo salama kabisa kwenye sehemu ya usalama kabisa.
Kwa ububusa tukubaliane na ''definition yako'' . Je, anayetengeneza Magaidi naye ni Gaidi? au Gaidi ni yule anayetekeleza! Kumbuka neno '' Uhalifu siyo Uharifu''Gaidi ni mtu ambae kwa kujua ama kuto kujua atafanya uharifuuu dhidi ya binadamu kama kutoa uhai wa binadamu wenzake bila huruma, kuharibu miundo mbinu mbali mbali kijamii ,kisiasa na kiuchumi.
Israel ina silaha za maangamizi, nayo ni Gaidi? Mabomu yaliyotumika leo ni ya maangamizi, US nayo ni magaidi?Pia Neno ugaidi/ magaidi ni very wide Sana mfano kutishia USALAMA wa dunia pia ni ugaidi ie. Kutengeneza mabomu ya maangamizi ni ugaidi pia ni imekua ngumu kutenganisha izi dhana mbili UISLAMU NA UGAIDI ni SAME BIRDS WITH THE SAME FEATHERS.
Kujitoa mhanga una maanisha '' kamikazi''?Simply ugaidi ni, an involvement of an act of violence, an audience, the creation of a mood of fear, innocent victims. Kifupi ULIPO UISLAMU RADICAL KUNA 99% YA KUTOKEA UGAIDI CASE STUDY ZIPO NYINGI REFER ISSUE ZA KUCHINJA REFER MAMBO YA KUJITOA MUHANGA NA KUJILIPUA.
We uliwahi kuona wapi upige Nuclear kuwa hakuna hata madhara. Iran wameisha shinda vita lazima US na Israel wakubali tu Iran Nuclear Program ipo pale pale ni time tu wakiamua kutest Nuclear wana test.Wacha weeee ππππ
Muiran wa Mafisa kwa Mambi huyo. πππ
Classmates wake πππBunk busters bila shaka. Likidondoshwa moja alikojificha classmate wako Ayatollah basi kwishney!