Tuchanane: Mambo ambayo akifanya mtu aibu unaona wewe!

Kuna member anaitwa Tlatlah na Lucas mwashambwa,waki comment au kuanzisha thread naona aibu mimi,sababu wanaandika upuuzi!
 
UShetani kabisa
Anatufanya na sisi tuanze kuwaza visivyo wazika
Ma Imagination ya ajabu ajabu yanakuja unexpected kisa hayo maneno
Ni Kama Virus 🦠
 
Kuona Lucas Mwashambwa akimuimbia mama mapambio kila kukicha
 
Hiyo #10 huwa sioni tatizo ungekaa karibu na Wasambaa ungepigana kila siku maana Msambaa na lugha yake humwambii kitu.
Nilipanda shambalai kwenda kwa wakwe.! Nilihisi kama nimetekwa ndugu yangu

Basi zima KUANZIA dereva, kondakta mpaka na jirani yangu siti moja wanaongea kilugha.! Ilibidi nivunge sometimes kama nimeipata content lakini wapi

Nilishukuru walipokitaja kituo ninachoshukia kwa kiswahili ndio ilikuwa salama yangu
 
Haha, mkuu Wasambaa hata wakutane London kitapigwa kilugha safii kabisa, khabar hawana
 
Kuna member anaitwa Tlatlah na Lucas mwashambwa,waki comment au kuanzisha thread naona aibu mimi,sababu wanaandika upuuzi!
Basi itakuwa tuko wengi. Ila binafs nina excuse kwa niaba yao.
1. CCM huenda imetekwa na wasio wazalendo
Kama hujui kitu bora unyamaze!
Basi Chukua nafasi hii kulitolea ufafanuzi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…