wa stendi
JF-Expert Member
- Jul 7, 2016
- 25,190
- 27,434
Yaani kwa kifupi huko chamani kumejaa magaidibila shaka polepole nae atakua amechukuliwa na police akatoe maelezo anamjua vipi bwana hamza
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yaani kwa kifupi huko chamani kumejaa magaidibila shaka polepole nae atakua amechukuliwa na police akatoe maelezo anamjua vipi bwana hamza
Kwani ishu ya zombe ilifkiaje mpk polisi wakawapiga wale wauza madini risasi Z kichwa??? Na wakayapora"amedhurumiwa dhahabu zake na polisi"... hapa tuwe makini kidogo, dhahabu zilifikaje kwenye mikono ya polisi ilihali kuna masoko ya dhahabu na taratibu zake kama leseni ( brokers licence) na ulipaji wa kodi nk.... hivi ni huyu tu anayefanya biashara ya dhahabu Tanzania?.... migodi ya dhahabu tunaambiwa iko chunya, chunya pale na Mbeya kuna masoko ya serikali, ilifikaje Dar es salaam hiyo dhahabu? mbona hakudhurumiwa na polisi Chunya, Mbeya, Iringa, Moro ila imetokea Dar es salaam?...
sitetei polisi wala huyu jamaa, najaribu kuwa na fikra huru kuliko kurusha lawama...
Tokea mwanzo wa taarifa ya tukio hili akili yangu ilikataa kabisa kulihusisha na ugaidi.
Sijui itakavyo kua katika uchunguzi wa polisi, lakini kama ilivyo sema mleta mada msamiati wa haki hapa nchni kwetu umeoza, kuanzia huko serikalini na vyombo vyao vya dola mpaka kwenye dini na hatimae kwa jamii nzima.
We jamaa ni polisi mwiziStori kwamba huyu jamaa alidhulumiwa ni stupid kabisa.
Kama alizulumiwa, kaua polisi 2 pale mataa, si angerudi tu nyuma kidogo kuna kituo cha polisi Salenda angeenda kuwakuta wengi tu, alikua anafuata nini ubalozi wa ufaransa?
Kama alikua anataka polisi walikuwepo pale stanbic bank, nyuma kidogo ubalozi wa urusi wamejaa, nyuma yake kisogo salenda polisi post, ubalozini alikua anafuata nini?
Ni watu kutaka ku twist hii habari ila ukweli ni kwamba huyu jamaa ni gaidi, ni mfia dini na sasa hivi yuko na mabikra 72 wanamzunguma wanamshika shida anawapiga mashine non stop kama dini inavyosema.
Kama kadhulumiwa hela au dhahabu ndo Gaidi au unasemaje kwa hilo?Hakuna gaidi anayekufa kishujaa
Kama kadhulumiwa hela au dhahabu ndo Gaidi au unasemaje kwa hilo?
Hujajibu hoza!umekazania neno gaidi tuu,soma vizuri swali langu na kichwa kizima cha mada husika!Gaidi hana haki na ndugu zake warudishwe kwao somalia yakauane wao kwa wao
Ahsante kwa taarifa mkuu!Hii family wako poa sana. Kaka yao mkubwa anaitwa mahmood ni mtu poa. Nasikia kweli jamaa ni kweli alidhulumiwa na polisi. Ila kidogo ni mvutaji wa madawa labda siku hiyo alivurugwa akaamua aue polisi. Wanaishi faya. Na watu wanasema familia yote imekamatwa sio kweli
Huo ni upumbavu sababu aliowauwa siyo waliomzulumu, hili ni tukio la kigaidiAny way Allah amsamehe ndugu yetu....katka mafundisho ya dini ya kiislamu tunafundushwa ya kwamba...
''...yeyote muislamu atakae kufa akipigania Mali yake/haki basi amekufa shahidi..."
Na katika kulipiza kisasi ni kitu ambacho kinaruhusiwa Ila kusamehe ni bora zaidi...
Ndugu Hamza alikuwa anajaribu kutetea Mali/haki yake na bila shaka alikuwa tayari kufa uku akihakikusha kuna watu anaondoka nao hasa hao polisi...
Wengi huwaita waislamu ni magaidi Ila ukweli ni kwamba waislamu hawapendi dhulma wapo tayari wafe wakitetea haki/Mali yao.....na ni watu wa visasi ni kama wa wakurya (vita ni vita mura) omba sana usiingie Kwenye anga zao.
Polisi uku mtaani wapigaji wa Dili vibaya...
Ni kuvurugwa mkuu,usiombe kudhulumiwa mali ambayo ulikuwa unaitegemea ikutoe kimaisha akili hugeuka na unakuwa tayari kwa lolote maana unahisi duniani bila hiyo mali wewe si lolote.Huo ni upumbavu sababu aliowauwa siyo waliomzulumu, hili ni tukio la kigaidi
Ni kuomba Mungu yasikukute ya kudhulumiwa.Ni balaa!Ni kuvurugwa mkuu,usiombe kudhulumiwa mali ambayo ulikuwa unaitegemea ikutoe kimaisha akili hugeuka na unakuwa tayari kwa lolote maana unahisi duniani bila hiyo mali wewe si lolote.
Juha ktk ubora wakeStori kwamba huyu jamaa alidhulumiwa ni stupid kabisa.
Kama alizulumiwa, kaua polisi 2 pale mataa, si angerudi tu nyuma kidogo kuna kituo cha polisi Salenda angeenda kuwakuta wengi tu, alikua anafuata nini ubalozi wa ufaransa?
Kama alikua anataka polisi walikuwepo pale stanbic bank, nyuma kidogo ubalozi wa urusi wamejaa, nyuma yake kisogo salenda polisi post, ubalozini alikua anafuata nini?
Ni watu kutaka ku twist hii habari ila ukweli ni kwamba huyu jamaa ni gaidi, ni mfia dini na sasa hivi yuko na mabikra 72 wanamzunguma wanamshika shida anawapiga mashine non stop kama dini inavyosema.
Vipengere va kisharia ulivonot ni sawa ila namna ya kuziendea sio ile alotumiaAny way Allah amsamehe ndugu yetu....katka mafundisho ya dini ya kiislamu tunafundushwa ya kwamba...