Kwakweli kipepsi kilimfaa huyo! Sema confidence ya ulevi naikubali sana!Mimi Huwa naogopwa nikipiga Tungi nakulaga na macho makali eee unaniogopa maana nipogo very seriously
Pia mtu badala ya kusimama pembeni yeye anasimama katikati ya biashara unadhani ni SAWA
Haina maana yeyote wanapojitia wpo strictly na maadili kwenye mavazi hali ya kuwa hao hao wazee wanaovaa hizo wanaita nguo za heshima, ndio wezi, mafisadi ,matapeli, watekaji na wauaji..Ndio maana Kuna dressings code Kila pahala😁
Kua MPOLEEE
Hizo ada wazazi wako wangefuga ngurue sasa hivi wangekua matajiri na wangekusaidia mtaji ufungue hata kibanda cha kuuza vifaa vya simu...Sasa mafundi umeme jinzi si ndio vazi bora kwao
Hi nchi Ina shida sana
Ukija na kikaputula chako migration unafukuzwa☺️Haina maana yeyote wanapojitia wpo strictly na maadili kwenye mavazi hali ya kuwa hao hao wazee wanaovaa hizo wanaita nguo za heshima, ndio wezi, mafisadi ,matapeli, watekaji na wauaji..
Hii nchi imepwaya sana,ipo nyuma sana kwenye kila kitu nashangaa huo muda wa ku judge mavazi ya mtu tunatoa wapi...
Toka wameanza kuweka sheria za mavazi uchumi umepanda... ufisadi umeisha?
Wajikite kwenye mambo ya msingi.. waache vijana wavae jeans na t-shirt..
Wazungu huko mtu anaingia ofisini na bukta.. wapo mbali kimaendeleo.. walishaachana na huu ujinga..
Haaahaa 😂Kwakweli kipepsi kilimfaa huyo! Sema confidence ya ulevi naikubali sana!
Hakuna Taasis ya serikali yenye dress code ya Tshirt na Jeans hata Engineers wanavyofanya interview huwa wako decent na wakishaenda site huko ndiyo wanaweza kuvaa Jeansni mpumbavu tu ndio anaangalia amani na nguo!!! Mwenye busara anaangalia dress code
Na wapigwe na miti kabisaaUkija na kikaputula chako migration unafukuzwa☺️
Ukija na jeans 👖 tena iliyo CHANIKA CHANIKA Mimi nakufukuza.. hakuna namna utafukuzwa sanaa ndugu
Havina shida lakini sio mahala pakeHivi tshirt na jeans vina shida gani? Au raba?
nakuunga mkono mkuu JoanahHavina shida lakini sio mahala pake
Ni suala la utaratibu wa mavazi tu
Ume enda mbali mno kwa kina YOU BELLA WHATCH YOUR BACK 😊Na wapigwe na miti kabisaa
nakuunga mkono mkuu Joanah
Familia bora wengi wanafundisha watoto wao good mannersmostly vijana wenye vijitabia vya aina hii, ni wale wanao toka familia bora...yani hata bila hiyo kazi, mama ake huwa anampa pesa za matumizi kila week/mwezi na anakaa nyumbani misosi bweleleeeee!!!!!! atawezaje kuwa serious kwenye maombi ya kazi?
Vaa kanzu safi iliyonyooshwa ni official pia, kanzu hadi 15k unapatavipi kama siwezi ku-afford kununua nguo? nifanye nini sasa? ...
Huwezi kosa suruali na shati kwenye collection yako tuwe wakweli hata mbele za MunguJero tu Mtaani taabu..jamaa anaongelea elfu 5...! Unafiki na kiburi Cha Kibarua alichonacho...
Hali ni ngumu.sana kitaa..Mtu anatembea kwa miguu na bahasha kusaka kazi hana hata mia ..