Kaka aliyekuchapia anafahamu mahusiano yako na binti?Kuna huyo mmoja kanilia manzi angu ilikuwa mwaka huu niivute ndani, alivyona dharau kaibwaga baada ya miezi tu na ujauzito juu. Nimeenda mpaka kwa mwanasaikolojia kisa mapenzi, hakika atalipa na atajua kuna wengine hatugusiki labda aje kiroho tu
Siku anaingia kwenye 18 hataamini na atajuta kujua mi ni nani na kama angejua basi asingethubutu hata kumuongelesha neno huyo manzi
AhaaJamaa nahisi alimshushia kichapo cha nguvu lakini hakumfanyia kitendo kibaya
Hii ni zaidi ya "ubaya ubwela"Vitombi wakigongewa huwa wanajaa upepo sana na kutaka kuua watu! Kuna broh mmoja wa kuitwa wence kitaani kwetu, miaka ya 2008, alikuwa kitombi sana. Kama kawaida ya vitombi huwa na wake wazuri sana. Jamaa alikuwa na mke shombe wa kiarabu wa kuitwa Zakia.
Si akaja kugundua kuna msomali mmoja bosi wa malori, anammegea mkewe tena kwa kujigamba kabisa! Msomali yule alikuwa firauni sio kidogo. Lakink alikutana na mafia mwenzake wakacheza mchezo wa kihuni kupimana makali. 😊
Huyu msomali mtoto wa Mombasa, Wense mtoto wa Sinza kazaliwa Gerezani.
Basi kwa umafia, Wense akakusanya wahuni toka Msamvu Morogoro, akawaleta Dar, akawapa ramani yote na mipango ya tukio lile. Misheni ni kuteka msomali kumpeleka "SAFE HOUSE" kumpiga mtungo, kumvunjia mayai kama wanavyosema watoto wa mjini. Bila kuchukua hata mkufu wake, wala fedha wala kumpiga popote pale. 😊
Yule msomali alikuwa kitasa, na anakiwa na mguu wa kuku full-time. Lakini wahuni walimdaka kizembe sana mitaa NHC-Ubungo hapo na kumpeleka "Safe house" kumpaka mafuta. Wanadai alikuwa anatumia mapikipiki makubwa yale, ameingia mgahawani, anatoka wahuni wakamdaka.
Badae walimrudisha mitaa hiyo hiyo na kumtupa hapo mgahawani. Masai ndio wanamuokota mtaroni giza imeanza kuingia. Pikipiki ilikuwa pale pale alipopaki, hakuna mtu alisanukia kama mhusika katekwa. Ishu iliisha kimya kimya namna hiyo. Hakukuwa na ripoti yeyote popote pale. 😊
Mjini kuna mengi. 😊
Mwanao sana jiwe miaka ile,hadi umekumbuka "italic" 😂😍😆😋😀😅😄😂😃😃Una Kauli Za Jiwe Tupu
Ukila Pesa Ya Serikali Utaitoa Kwenye Tundu Lolote La Mwili Wako Lililo Wazi Nasema Utaitapika Tu
Huo sio relevant tena mkuuUle mtazamo wa kuoa bikra ili usichapiwe bado upo?
Sawa kwa wakati huu swala la kuoa mke wa mtu halikwepeki lipo sambamba na kuchapiwa tuHuo sio relevant tena mkuu
Mkuu hao vijana wezi bado wapo mwezi wa 3 nilikuwa hapo mtwara wanaiba sana kwenye magodown mtaa wa Railway. Msimu wa korosho wanaiba sana kwenye gari za shanting na wanajulikana.Ungekuwa mwenyeji wa mtwara mjini ungejua kwanini tukale wapi waliisha na wengi wao wakakimbia na wengine wakaacha baada ya matendo yao ya wizi unyang'anyi, ubakaji na hata muda mwingine kuua tena mchana kweupe,,,,polisi ni kama waliwachemka wale watu aisee kwasababu walikuwa wanafanya ubabe muda wowote ule,,ikawa mtwara amani hamna ila kundi la raia wakajiunga na kuweka mkakati wa kuwaua wale vijana na kweli walikuwa wanachomwa moto mchana kweupe,,nikwamba waliorodhesha majina ya wale vijana yakawa kama 50 hivi sasa ikawa popote atakapoonekana yeyote ni moto tu...nakumbuka Kuna siku asubuhi hao vijana walikuwa watatu wanafanya mazoezi ya kukimbia wakashikwa wakapigwa kiberiti wote....kwahiyo hao raia kwa jicho la kisheria walifanya makosa kuua wezi ila wamesaidia mno ndio maana leo mtwara hata utembee usiku mwingi hali ni shwari kabisa...na hao raia ukiwauliza ni ninyi muliokiua wezi wanakataa kabisa
Mkuu hapa hakuna somo eti. Sio kila mmoja anaweza kuwa na roho ngumu ya kutekeleza unyama kama huu.Hongera mleta mada....wahanga wengi na wengine wanapata somo
Watu kama wewe 80% yakiwakuta hufanya matukio mazito,ndugu wanabaki kusema hawakutegemea😂Uzi wa kipumbavu kabisa!
Yaani ngono ndio ikufanye uwe hivi!
Tena mtu mlie kutana ukubwani!
Binadamu tu wadhaifu sana kweye ubinfsi,yaani ni wabinafsi mno!
Labda iwe chai ila kama ni kweli hutakaa upate amani maisha yako yote! Hapa unatafuta tu kuona nani amefanya kama wewe, hata wote tuseme tumefanya kama wewe ila hutakaa upate amani daima.
Hilo ni lipumbavu na huenda lina hizo tabia ndio maana linakuja kupanikia watu. Yeye ajiandae tu, asidhani dunia ina huruma kama anavyoweza kuimagineWatu kama wewe 80% yakiwakuta hufanya matukio mazito,ndugu wanabaki kusema hawakutegemea😂
Sasa kuua si ni mule mule kwenye ukatili!Unadindisha kabisa nyuma ya tundu la mavi la mwanaume mwenzako tena katika panic mode?
Kuna saikolojia za ajabu sana hapa duniani. Hizo ndo dhamiri zilizojifia. Hakuna kosa litakalohalalisha vitendo kama hivyo. Ni bora ungemuua huyo victim wako tungesema umeua bila kukusudia, kuliko huo ufirauni.
Uhusiano wako na Mungu ni mzuri sana, nimeandika bila kupenda ilihali nilikuwa ni msoma jumbe tu daaah....Nilikuwa na uwezo wa kukufanya chechote kwasababu nina wahuni wengi mno mjini ila niliwaza nikaona haina maana yeyote ile....ila mwanamke ndio akaondoka akaenda kwao baadae wazazi wangu wakalazimisha niende kwao tukamalize kwasababu wazazi wangu walikuwa wanampenda sana....sasa kwenye kikao akaanza kunipakazia uwongo ila chakushukuru mabaya yote nilikuwa narekodi pale alipokiomba msamaha na hata siku niliyowafuma niliwapiga picha wapo uchi kwahiyo nikawaonyesha kwenye kikao na nikashinda..ila akapaza sauti sikutaki tena nikamwambia sawa ila nimekuoa tumekaa miaka 6 ya ndoa Mwenyezi Mungu awe shahidi sikuwahi kuchepuka hata siku moja wala kukufanya ubaya wowote ule Mungu atanipigania nikaondoka....akakaa miezi miwili tangu aniache akafunga ndoa akakaa kwenye ndoa siku 6 mumewe akafariki alianza kupiga kelele kuwa kichwa kinauma palepale akafa hiyo ni 2022....mwaka 2024 yule mchungaji akamuoa nae akakaa nae miezi miwili kwenye ndoa nae akafa kwa ajali ya pikipiki..sasa yupoyupo tu kachoka
Yuko wapi?nasubiri na mie siku manzi yangu akigongwa nitakua waambia kama nimesamehe au vipe
Mawardat ww kama mtoto wa kiislamu neno "dushe" hukutakiwa hata kulijua, seriously 😅🤣😂Kuna mmoja huku kazikwa Jana,walimkata na dushe kabisa,,mke wa mtu sumu.
Hii ya kutOmba mwanaume nyuma inafikirisha sana, yaani hata kudidisha sijui nadindishaje, anyway sijui may be sina nguvu za kiume kama wenzanguKinachoshangaza watu wana njaa gani ya kulipwa 30k sjui laki ukamfir mtu tena wa kiume kuna mambo hayaingii akilini kikawaida
Nyote mafirauni yaliyojificha kwenye vichaka vya ndoa!!!!
Bora kufa!!!!! Damu ya mtu sio ya kuku isingenyamaza juu yenu!!!!