Uchaguzi 2020 Tume ya Uchaguzi yampitisha Tundu Lissu kuwania Urais kupitia CHADEMA

Kwan wamevunja Sheria ipi hapo ndugu
 
We ng'ombe kwa hiyo maximum ni ngapi kwa mujibu wa tume......? Au ww umekua tume kosa liko wapi😒😒
Fomu inatamka wazi yeye kajifanya kidume anajaza maelfu asubiri Sasa tume ikeshe kuhakiki na yeye akeshe kusubiri
 
Tujitayarishe kufuindishana adabu kwa nguvu ya umma.
Utapiga kerere humu akikatwa wewe unaogopa kuwa wa kwanza kuingia barabarani,
Unabaki kusubili uwaone wanakosekana mwisho unachoka
Unarudi kuanzisha mada ingine humu.
 
Hivi ayo tv siku hizi imekuwaje!!
Muda kama huu walipaswa kuwa mubashara makao makuu ya NEC Dom kutujuza kinachojiri
 
Ni kawaida mshindi kutajwa mwishoni, wanajua kabisa ‘ni yeye’ tu anasubiriwa kabla shangwe kulipuka.
 
NECCCM Tumeccm fanyeni vioja vyote lakini mjue hakuna mabaya yasiyo na mwisho walikuwepo akina Bokasa Iddy Amin dada,Abacha,chiluba, Elbashiri, Gadafi, Sadam Hussein,‘mabutu leo hii wapo wapi?
 
Kwan wamevunja Sheria ipi hapo ndugu
Hawajavunja Sasa wasubiri wakeshe wakisubiri tume ihakiki taarifa mmoja Baada ya mwingine .Watakesha tume Leo

Wenzao zoezi limekuwa rahisi Chadema wame like complicate un necessarily
 
Lissu asipopitishwa hao wagombea wengine wawe makini, safari hii tulie wote
 
Lisu mwanasheria koko fikiria unaambiwa lete wadhamini wawili wewe unapeleka wadhamini laki Moja si.kumsumbua hakimu au jaji huko? Na kumpotezea muda kuhakiki

Kaambiwa lete minimum Hawa unapeleka maelfu sawa wasubiri tume ihakiki hao maelfu
are you kamasi?
 
Mbona awamu hii ya tano wanaogopa sana ushindani?

Tanzania ni nchi ya demokrasia na hiki ni kipindi cha wananchi kuamua, sioni sababu ya NEC kuchukua muda mwingi kukagua form badala ya kutengeneza uwanja ili wananchi wakaamue wanayemtaka
CCM ya kishetani imeandaa Tumeccm haramu wakizani watanzania ni wajinga watafanya hujuma wasijulikane
 
Ondoeni Shaka, Lisu Vs Magufuli

Tuone ni Nani atamkata ama kumfunga mwenzake, Maana hawa wote majina yao tu ni siraha

Lisu (kisu)×
Vs (Magufuli)✓
 
Wanamchelewesha ili kesho ashindwe kuhudhuria mahakama ya kisutu.ila huku dar watu wameshajiandaa mamilioni kumshindikiza.
 
CHADEMA wameshaanza kupanic.

Walitishia kuvunja amani ya nchi kupitia mwenyekiti wao Gastura.

Sasa waanze kuzoea maisha wanayoyachagua na watakuwa ignored mpaka adabu ikamate akili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…