Relief Mirzska
JF-Expert Member
- Jun 13, 2017
- 13,992
- 22,396
Eti ee?Amekatwa tayari
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Eti ee?Amekatwa tayari
Kwan wamevunja Sheria ipi hapo nduguChadema Hakuna washauri wazuri kwa Nini Lisu ajaze wadhamini maelfu kupitiliza idadi minimum inayotakiwa na Tume huku wakijua kuwa Tume inahitaji kuhakiki wote Kama Sio hewa?
Tume kuhakiki wadhamini wa Lisu tume yaweza Kesha tofauti na wagombea wengine ambao wamejaza only minimum required number ya wadhamini
Chadema kesheni hapo msubiri Tume imalize kuhakiki mumeyataka wenyewe
Fomu inatamka wazi yeye kajifanya kidume anajaza maelfu asubiri Sasa tume ikeshe kuhakiki na yeye akeshe kusubiriWe ng'ombe kwa hiyo maximum ni ngapi kwa mujibu wa tume......? Au ww umekua tume kosa liko wapi😒😒
Utapiga kerere humu akikatwa wewe unaogopa kuwa wa kwanza kuingia barabarani,Tujitayarishe kufuindishana adabu kwa nguvu ya umma.
NECCCM Tumeccm fanyeni vioja vyote lakini mjue hakuna mabaya yasiyo na mwisho walikuwepo akina Bokasa Iddy Amin dada,Abacha,chiluba, Elbashiri, Gadafi, Sadam Hussein,‘mabutu leo hii wapo wapi?Kuna surprise gani kurudisha fomu ? Tume Wana akili nyingi ndio maana Lisu kapangwa Kwanza arudishe fomu kabla ya ACT wazalendo akirudisha yeye ndie ajiandae kwa surprise sababu ikifika zamu ya ACt wazalendo anaona Membe huyo.anarudisha fomu
Act wazalendo wangetangulia wangefanyiwa fujo na Chadema na hata kuporwa fomu
Chadema ijiandae kwa surprise sio CCM
Uoga wenu ndo umasikini wa hii nchi....... Tundu Lissu hazuiliki kifala hivo......Fomu inatamka wazi yeye kajifanya kidume anajaza maelfu asubiri Sasa tume ikeshe kuhakiki na yeye akeshe kusubiri
Hawajavunja Sasa wasubiri wakeshe wakisubiri tume ihakiki taarifa mmoja Baada ya mwingine .Watakesha tume LeoKwan wamevunja Sheria ipi hapo ndugu
are you kamasi?Lisu mwanasheria koko fikiria unaambiwa lete wadhamini wawili wewe unapeleka wadhamini laki Moja si.kumsumbua hakimu au jaji huko? Na kumpotezea muda kuhakiki
Kaambiwa lete minimum Hawa unapeleka maelfu sawa wasubiri tume ihakiki hao maelfu
Sasa mbona cuf wameitwa afu cdm badoSio kweli, NCCR wanaanza kabla ya chademaView attachment 1547576
CCM ya kishetani imeandaa Tumeccm haramu wakizani watanzania ni wajinga watafanya hujuma wasijulikaneMbona awamu hii ya tano wanaogopa sana ushindani?
Tanzania ni nchi ya demokrasia na hiki ni kipindi cha wananchi kuamua, sioni sababu ya NEC kuchukua muda mwingi kukagua form badala ya kutengeneza uwanja ili wananchi wakaamue wanayemtaka
Mkuu wapi[emoji46]Umeme umekatwa
Kuna Hujuma kubwa dhidi ya chadema imesukwa kwa mujibu wa Le mutuz msiri wa polepoleSasa mbona cuf wameitwa afu cdm bado
Wanamchelewesha ili kesho ashindwe kuhudhuria mahakama ya kisutu.ila huku dar watu wameshajiandaa mamilioni kumshindikiza.Ninaangalia kituo cha Taifa cha luninga cha TBC hapa wakionyesha mubashara, matangazo hayo.
Hata hivyo nimeshangazwa kwa kuona wagombea wa chama cha CUF wakiingia kwenye chumba cha kurejesha fomu, wakati wenzao wa Chadema, ambao kwenye ratiba walikuwa wamewatangulia wakiendelea kusubiria kwenye "Holding Room" ambapo haijulikani wataingia saa ngapi!
Hii Tume isifanye masihara na amani ya nchi hii, wanapaswa watekeleze majukumu yao wakiwa huru na wasikubali hata kidogo kupokea maagizo toka juu!