Uchaguzi 2020 Tume ya Uchaguzi yampitisha Tundu Lissu kuwania Urais kupitia CHADEMA

CCM ni wahuni sana!!
 
Mnang'ang'ania itangaze wakati inahakiki taarifa zake, na kwa ujuha wake aliweka wazamini mil 2 wakati waliotakiwa ni elf 2. Sasa kuhakiki watu mil 2 unadhani mchezo
NEC kufuata ratiba (ndiyo hoja yangu) na huko kutangaza unakokusemea wewe, vina uhusiano gani?
Kwa nini hampendi kujielimisha?
 
Hawa majizi na mauaji siku zao zimefika ukingoni. Naombea wawe na shingo ngumu hadi mwisho ili wavunjwe kirahisi. Hilo jiwe la mchanga tutalisambaratisha chato haitojengwa tena tik tik tik tik
 
Inatakiwa tuionyeshe dunia Tz ilivyo staarabika, huyo Loketo akiitisha maandamano sijui nini wote tuuchune kimya. Dunia itatuheshimu sana.
Tangu asubuhi unatoa maneno ya kipumbavu na Mods wanakuona tu itadhani umezaliwa kutokea mlango wa nyuma!
 
NEC kufuata ratiba (ndiyo hoja yangu) na huko kutangaza unakokusemea wewe, vina uhusiano gani?
Kwa nini hampendi kujielimisha?
Angekuwa kahakikiwa ratiba ingekuwa hiyo sasa loketo wenu hajahakiki so ameiongezea tume kazi ngumu, imagine majina mil 2 jamani halafu robo tatu yawe fakelo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…