Uchaguzi 2020 Tume ya Uchaguzi yampitisha Tundu Lissu kuwania Urais kupitia CHADEMA

Uchaguzi 2020 Tume ya Uchaguzi yampitisha Tundu Lissu kuwania Urais kupitia CHADEMA

Anarudisha last minute akidhani time watakuwa wameingwa sana bhas ataipitia kikamilifu sababu ya muda mdogo Leo Leo wapokee na Leo Leo watangaze!! Poor thinking
Mpuuzi wew hujui kwamba wanarudisha kwa mujibu wa ratiba iliyotolewa na nec
 
Wala haipo kama anavyosema mtoa mada. Kilichopo ni kuwa muda umekuwa mrefu kwa waliotangulia hivyo kupelekea muda kuongezeka, hadi sasa hata NCCR nao hawajaingia na ilibidi waingie kabla ya chadema
TL mzee wa mahesabu
 
Lissu naona.. anashangaa kufika.. kuona nchi yetu imejaa demokrasia.. na sio wanavyodanganya wananchi..

Hapo lazima anatamani atukane au afanye fujo ili.. mabeberu wamuongezee dau la fedha.. mazoea ya kupenda kuchokonoa.. hafai kuwa kiongozi.. atauza nchi yetu.. Amsterdam wao wanasubiri wakifikiri.. Lissu atapita.. waje watawale nchi yetu.. na kutuibia zaidi ya kabla.. Magufuli hajawa onyesha.. Yeye ni Jembe na Mzalendo namba 1 nchini..

Kura zote zinaenda kwa

Magufuli 2020💯
 
Back
Top Bottom