Uchaguzi 2020 Tume ya Uchaguzi yampitisha Tundu Lissu kuwania Urais kupitia CHADEMA

Uchaguzi 2020 Tume ya Uchaguzi yampitisha Tundu Lissu kuwania Urais kupitia CHADEMA

Lisu mwanasheria koko fikiria unaambiwa lete wadhamini wawili wewe unapeleka wadhamini laki Moja si.kumsumbua hakimu au jaji huko? Na kumpotezea muda kuhakiki

Kaambiwa lete minimum Hawa unapeleka maelfu sawa wasubiri tume ihakiki hao maelfu
Mnatuletea yale maigizo yenu ya zamani tena, misukule walimshinda ataweza kufufua mfu?!

Wacheni kumpa kick za kijinga za kampeni, kwahiyo ataenda kujinadi kwa wananchi amefufua mtu? nyie kweli vichaa.
 
Lisu mwanasheria koko fikiria unaambiwa lete wadhamini wawili wewe unapeleka wadhamini laki Moja si.kumsumbua hakimu au jaji huko? Na kumpotezea muda kuhakiki

Kaambiwa lete minimum Hawa unapeleka maelfu sawa wasubiri tume ihakiki hao maelfu
We panzi anakuzidi akili, sasa NEC kama ilitaka wadhamini wawili lissu kapeleka laki si ihakiki hao wawili inayowataka then hao wengine inaachana nao?
 
Dalili ya mvua ni mawingu. Hata mimi nimeshangaa.Lissu wakimkata basi itakuwa intelligence ya Magufuli imegundua Lissu atashinda hata iweje. Hivyo dawa ni kumkata tu.
Wasipomkata?
 
Wengine wamejaza wadhamini wachache kazi rahisi kuhakiki Lisu kaweka wadhamini maelfu Tume kumaliza kuhakiki itachukua muda .Yeye ndie kasababisha hiyo shida.Wenzie walijaza tu idadi minimum inayotakiwa na Tume Ili uhakiki uwe rahisi na ichukue muda mfupi yeye kajaza wadhamini dunia!!
Ha ha ha A, we jamaa
 
Kama kwa kweli unashabikia kile kinachoendelea toka ktk moyo wako, basi shetani ni baba yako. Wewe ni mwana wa shetani. Udhalimu huu utakuwa unamchukiza Mungu wa mbinguni. Ni Mungu wa haki.
Utapiga kerere humu akikatwa wewe unaogopa kuwa wa kwanza kuingia barabarani,
Unabaki kusubili uwaone wanakosekana mwisho unachoka
Unarudi kuanzisha mada ingine humu.
 
Lisu mwanasheria koko fikiria unaambiwa lete wadhamini wawili wewe unapeleka wadhamini laki Moja si.kumsumbua hakimu au jaji huko? Na kumpotezea muda kuhakiki

Kaambiwa lete minimum Hawa unapeleka maelfu sawa wasubiri tume ihakiki hao maelfu
Hii information yako naelekea kuiamini, kwasababu kuna pic nimeona afisa wa Tume akiwa na jamaa wa Chadema wanahakiki kitu kwenye fomu, watu muwe na subira, wacheni presha tutaona mbele majibu.
 
Lisu mwanasheria koko fikiria unaambiwa lete wadhamini wawili wewe unapeleka wadhamini laki Moja si.kumsumbua hakimu au jaji huko? Na kumpotezea muda kuhakiki

Kaambiwa lete minimum Hawa unapeleka maelfu sawa wasubiri tume ihakiki hao maelfu
Kampkie mumeo ugali
 
1598392618420.png
 
Chadema Hakuna washauri wazuri kwa Nini Lisu ajaze wadhamini maelfu kupitiliza idadi minimum inayotakiwa na Tume huku wakijua kuwa Tume inahitaji kuhakiki wote Kama Sio hewa?

Tume kuhakiki wadhamini wa Lisu tume yaweza Kesha tofauti na wagombea wengine ambao wamejaza only minimum required number ya wadhamini

Chadema kesheni hapo msubiri Tume imalize kuhakiki mumeyataka wenyewe
Muda mwingine Chadema ni hopeless. Wenzao walipeleka fomu zao jana na juzi wao wakajifanya vidume.. Wakaenda leo sujui wana lalamika nini. Utoto tuu. Nimesha wachukia tayari..
 
Back
Top Bottom