Uchaguzi 2020 Tume ya Uchaguzi yampitisha Tundu Lissu kuwania Urais kupitia CHADEMA

Uchaguzi 2020 Tume ya Uchaguzi yampitisha Tundu Lissu kuwania Urais kupitia CHADEMA

Halafu wanalialia kila dakika, hivi badala ya kutafuta wadhamini na kufuata taratibu zote, wao kwa nini walikuwa wanafanya kampeni. Ujuaji wa Lissu litakuwa anguko la chadema.
 
Hii ni aibu na fedheha kubwa kwa CHADEMA chama ambacho kinajinasibu kuwa ni chama kikuu cha upinzani kwa kushindwa kufuata utaratibu wa kisheria katika kutafuta wadhamini, yaani hata CHAUMA imewashinda katika hilo.

Mpaka sasa imeshaonesha wazi kuwa CHADEMA ni chama kisicho makini na viongozi wake wanafanya mambo kwa kukurupuka.

View attachment 1547723
Ni aibu kubwa halafu eti wanajiita wajanja!! Sasa hapo ikitokea wadhamini wakapungua kwa sababu walimdhamini kumbe siyo wakazi wa maeneo hayo?? UJANJA MWINGIIII KUMBE NI MBUMBUMBU WA KUTUPWA!!
 
Je katika uhakiki huo kukaonekana kuna tatizo halafu muda wa kwenda kufanya marekebisho haupo (umekwisha), italuwaje? Labda hilo zoezi lingeisha ile saa 6 mchana pengine mngechomoka fasta kwenda kurekebisha na kurudi kabla ya saa 10. Hapo hamuoni kuwa kuna tego?

Anyway, tunaomba hili liise salama, na Mh. Lisu apate haki yake ya kuletwa mbele ya wananchi.

Mungu ibariki Tanzania
 
Back
Top Bottom