Jane Lowassa
JF-Expert Member
- May 10, 2016
- 4,955
- 9,041
Sisi tulimpenda lakini NEC wamempenda zaidi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani nini kinaendelea Dodoma wajumbe?.. [emoji1787][emoji1787]Sisi tulimpenda lakini NEC wamempenda zaidi
Amka amka acha kuota 😂😂
Jamaa wanafanywa kama mazuzu aisee[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]...tena ungeniita nikubebe bureeee kabisa bila bride price.
Kwani nini kinaendelea Dodoma wajumbe?.. [emoji1787][emoji1787]
Huamini nini?Hv ni kwel kakatwa?
Sio hamuelewi.Mbona hatuelewi elewi,[emoji848]
Hata mtangazaji wa BBC wamemblock tcra na ccm hawezi kufanya mawasiliano ili kuhatarisha kinachoendeleaIts hard to explain, maana hakuna taarifa yoyote inayoingia wala kutoka.
Ni DWHata mtangazaji wa BBC wamemblock tcra na ccm hawezi kufanya mawasiliano ili kuhatarisha kinachoendelea
Sure! Nilichanganya BBC bado hawajaanzaNi DW
yeah! hapa tumaini limepungua aisee [emoji19][emoji19]Sure! Nilichanganya BBC bado hawajaanza