Sumve 2015
JF-Expert Member
- Jun 16, 2013
- 4,563
- 4,227
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Too sad lakini aisee.. Yani CCM kiboko sana hawa watu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Too sad lakini aisee.. Yani CCM kiboko sana hawa watu
Tuone haowaingiaji lodi ni wakinanani.Makamanda walituahidi kuingia barabarani [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ingieni sasa makamandaaaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Atakuwa salama tu wakili msomiWandugu;
Huu ucheleweshwaji na ukiukwaji wa ratiba ya wagombea kuwasilisha fomu zao uliofanywa na NEC, hauna afya kwa mustakabali wa taifa letu na uchaguzi wenyewe.
Hivi ikatokea mgombea wa CHADEMA akashambuliwa na wale watu wanaoitwa "wasio julikana" njiani akiwa njiani anarejea kwenye maskani yake baada ya kumalizana na NEC, nani atalaumiwa?
Siombei itokee hivyo lkn nawaza tu kwa sauti!
Hivi haitaonekana kwamba NEC iliujua mpango huo na ikatumiwa na hao "wasio julikana" kuufanikisha?
Ndio, ndivyo itakavyo someka kwa sababu watakuwa wamehusika kwa maksudi kufanya mgombea huyo aondoke NEC usiku.
Ni hayo tu wandugu.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kama Membe karudisha fomu Sina shida Hata wampitishe Tundu Lisu kugombea Zanzibar Lisu hapati kura kigoma na popote walipo wapemba na waislamu Tanzania bara na visiwani hapati kura
We Umesikia wapi?Vipi kwanza umeshakalia mti nyama leo sio ukawa unawashwa ndo unakuja kugomba huku
Sure! Nilichanganya BBC bado hawajaanza