Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yes tuko hapa na ndo tunaelekea ofc zetu za kanda ...ni lissu ni lissu ni lissuMWAMBA KATEULIWA kugombea urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania . Sasa mjiandae na kupiga push-ups jukwaani... sasa tunasubiri kujibu mapingamizi (amblyopia tunajua yapo mengi tu kkutoka kwa watu waoga).. #TunduLissu2020 #nohatenofear @TunduALissu
1000000% Muhimu.Mkuu inatakiwa uangalifu sana namna ya kuishi hapo Dodoma kwa Mh Lissu kwa masaa ya leo
Acha kuturusha roho, aisee hapa nilipo ni presha tuu.halafu kugomea ndio nini?
Yaaani nec wamejibaraguza ili iwe wote washaisha na tbc washaondolewa ndio wampitishe Lissu?Ni Rasmi Sasa!
Tundu Antipass Lissu mwana wa Afrika na mwanademokrasia wa kweli wa Tanzania amepitishwa rasmi na Tume ya Taifa ya Uchaguzi NEC kuwa mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Akiitangazia Dunia Mwenyekiti wa NEC Jaji Kaijage amesema Lissu ametimiza vigezo vyote na Masharti ya kuwa mgombea Urais kupitia Chadema.
Ipi hiyo?Mitego mitatu imefukwa salama bila mtegaji kujua kuiwa mitego yake inavukwa kimya kimya.
jamaa atakuwa anaubao sana. tangu saa 6 tumbo halijapata chochote duuuNi Rasmi Sasa!
Tundu Antipass Lissu mwana wa Afrika na mwanademokrasia wa kweli wa Tanzania amepitishwa rasmi na Tume ya Taifa ya Uchaguzi NEC kuwa mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Akiitangazia Dunia Mwenyekiti wa NEC Jaji Kaijage amesema Lissu ametimiza vigezo vyote na Masharti ya kuwa mgombea Urais kupitia Chadema.
Hii ilikuwa hatua muhimu sana. ngoja aingie kwenye ushindani , ashindwe kwa haki, au ASHINDE KWA HAKIHahahaaaa...... Furaha ya nyani huishia jangwani bwashee!
Mungu ni wa wote siku zote.Asante mungu
ASANTE YESU, ASANTE MUNGU.[emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]Ni Rasmi Sasa!
Tundu Antipass Lissu mwana wa Afrika na mwanademokrasia wa kweli wa Tanzania amepitishwa rasmi na Tume ya Taifa ya Uchaguzi NEC kuwa mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Akiitangazia Dunia Mwenyekiti wa NEC Jaji Kaijage amesema Lissu ametimiza vigezo vyote na Masharti ya kuwa mgombea Urais kupitia Chadema.
Habari zimeminywa.Chanzo Cha habari..???
Umemaliza kudhikiri. Maana ulikiwa busy kupiga ramli.Kwa dhati kabisa nampongeza Tundu Lissu kwa Kuteuliwa kugombea Urais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania.
Kazi Kwetu wapiga kura kuchagua yupi bora baina yake na Rais Magufuli.
Sina Cha ziada cha kuongezea.