Uchaguzi 2020 Tume ya Uchaguzi yampitisha Tundu Lissu kuwania Urais kupitia CHADEMA

Uchaguzi 2020 Tume ya Uchaguzi yampitisha Tundu Lissu kuwania Urais kupitia CHADEMA

Bado nanoa panga, nipo morogoro, nimetoka mbeya kuwapa vijana maelekezo, nataka nikakate migomba nilishe ng'ombe, nikimaliza nitaenda moshi kufanya hivyo hivyo, ila kabla ya kufika moshi nitapitia gairo kidogo nikazungumze na mkuu mmoja, vp LISSU KAPITISHWA AU KAFANYIWA FIGISU???
[emoji23][emoji23][emoji1544]
 
Anarudisha last minute akidhani time watakuwa wameingwa sana bhas ataipitia kikamilifu sababu ya muda mdogo Leo Leo wapokee na Leo Leo watangaze!! Poor thinking.
Mkuu, mbona nasikia JPM amemkuta TL hapo ofisi ya NEC na kahudumiwa, kupitishwa na amemwacha TL bado yuko hapo?

Vv

Vv
 
Ni Yeyeeeee
20200825_194603.jpg
 
Back
Top Bottom