Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 301,577
- 754,412
KapitaaaaHapa Dodoma ndiyo kama hivi mida huu saa moja na dakika 28. Bado wingu ni nzito wakuu.
View attachment 1547891
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
KapitaaaaHapa Dodoma ndiyo kama hivi mida huu saa moja na dakika 28. Bado wingu ni nzito wakuu.
View attachment 1547891
Hahahaaaa....... hahahaaaa....... hatimaye bwashee!Nalog off kwa muda niingie kwenye maombi
Kumbe magu ndiye mwenye maamuzi??????Sasa mlikua mnalia lia nini. Magu hanaga ushamba ule wa kukata wapinzani wake
At last ..hureeNi YeyeeeeeView attachment 1547950
Hawa tume bana...... Nini kumshindisha raia na njaa tangu saa tano asubuhi???Ni YeyeeeeeView attachment 1547950
Sina shaka na taarifa yako
Kapita saa moja na dakika 40. Sasa ni mwendo wa kuondoka NECKapitaaaa
Punguza unafique JoHahahaaaa....... hahahaaaa....... hatimaye bwashee!
Imani yangu kwako haijawahi kuniangushaMkuu kunywa [emoji485]taratibu tujiandae kumpatia kura za kutosha
sitamwamni mtu mpaka kesho , leo hapana. Molemo alituingisha porini tukachomwa na miiba
Siamini mpaka nione taarifa yake Twitter au ya chamaTundu Antipasi Lissu kapitishwa muda huu kuwa mgombea wa CHADEMA nafasi ya urais...
Kumbe magu ndiye mwenye maamuzi??????
Sasa unatufumbua macho. Wanaposema hakuna tume huru mbona mnakua wakali?