Tumetoka mbali sana, tumshukuru Mungu. Wengi hawakujionea kwa macho

hlo la jiwe la fatuma cku moja jamaa wakaja kwetu tukiwa wadogo wazee walikuwa wamesafiri bana.
sasa mi nikawasikia mapema huko nje wanachopanga. nikawaamsha madogo. nikawaambia wapige kimya. nikasogea mlangon na kufungua makomeo taratiibu. ile wajamaa wanaanza kuhesabu moja mbili tatu nikafungua mlango fatuma likapitiliza. jamaa kila mtu alichukua njia yake. sema lilivunja vyombo flan sebulen. umenikumbusha mbali sana.
 
Hahaha mwamba uliwanyoosha
 
We kiboko
 
VOLVO ndiyo gari iliyokuwa ikiogopwa na polisi, pijo ilikuwa kiboko yao East Africa Safari Rally ikiendeshwa na Shankland.
 
Mi nalikumbuka "DRIVE IN" sinema

Nilikuwa naishi kwa anko wangu hapo oysterbay polisi Basi ikifika jioni tunajisogeza hapo kucheki movie za kihindi zileee enzi hizo ndio zilikuwa zinatrend
 
Leyland, randrover, 110 defender, Uvaaji chacha na DH

Ngoma moja inaitwa Babatoni enzi nikiwa unyakyusani na wazazi wangu kikazi huko mbeya , hii ngoma wanyakyusa kama wameipoteza wanakosa mengi dunia hii, ina radha ya amapiano, singeli imo, west africa ipo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…