Lete clip inayothibitisha hayo. Tukuone wewe usiye na mahaba. Mabwana zako na huyo aliyekufa kwa korona hawanauthibitisho WA hayo bali ni ramli tu akawambukiza na nyinyi.Mahaba yamekuzidi wewe, dunia nzima inajua Tundu alisimama na Acacia.
Kumbe unakubali kuwa huyo babu yenu meko ni muuaji na jambazi wa haki za kibinadamu?Mbona Billicanas ilivunjwa lakini Mbowe haongei ujinga ujinga kama huyo Tundu Lisu?
Every action is equal to the opposite reactionKinyongo huleta chuki... na chuki huleta hasira... na hasira huleta kisasi... na kisasi huleta dhambi... na dhambi hukupeleka jahanamu
toa ujinga afya na vitu ni vitu viwili tofautiMbona Billicanas ilivunjwa lakini Mbowe haongei ujinga ujinga kama huyo Tundu Lisu?
Si akapewe mafao yake na kampuni yake accacia na barrick na mabeberu alikuwa akiwatetea wakati jpm anatetea madini yetuLisu analilia mafao ya ubunge tu!
Kwa Mwana siasa Mkomavu alivyofanya Lissu sio sawa, huwezi kupigana na maiti na ukashinda, kwa kuwa binadamu akisha kuwa maiti hana nafasi ya kujigeuza akiwa mpinzani wako tena.Wasalaam wapendwa!
Kila mara humu mtu ukisoma vizuri comments za kila mada huwezi kupita bila kukutana na neno UNAFKI. Hili neno linasemwa kulingana na sisi wenyewe tulivyo na vitabia vyetu.
Hivi Tundu Lissu kabla haijapigwa risasi akachungulia kaburi na kurudi tuwahi kusikia akiitwa msaliti na nani?
Hebu vaa viatu vyake chukulia kua wewe ni tundu Lissu,
1. Upigwe risasi 16 saa 7 mchana kweupe na mpaka leo hii wasijulikane waliotenda tukio hilo
2. Chukulia wewe ndio Tundu Lissu unyimwe gharama za matibabu yako kama mbunge bila sababu yeyote ya msingi
3. Chukulia wewe ndio Tundu Lissu mpaka leo unyimwe nafsi yako ya ubunge na stahiki ziingine
4. Chukulia hii wewe ni Tundu Lissu unaporwa ubunge wako hadharani bila sababu ya msingi
6. Chukulia wewe ndio yeye unapata matatizo watu wanazuiwa hata kukusanyika kukuombea kwa Mola upone
6. Chukulia wewe ni Tundu Lissu unaarifiwa na vyanzo vya ndani ya mfumo kama asemavyo yeye kua ilitolewa amri kua shughuli ilitakiwa imalizike mapema kisha apumzishwe haraka kijijini kwao mapema bila kuagwa, hivi kwa maneno haya upendo utoke wapi?
Tunaomwita Lissu mtumwa wa Mabeberu hebu mfikirieni na yeye kwa vyote aliyofikia nayo. Mbona hatukumwita msaliti kabla? Hivi yeye si binadamu na asinune wala kuchukua ana moyo wa chuma?
Nini kinamfanya aishi uhamishoni mbona uchaguzi alirudi kugombea kama anatishiwa maisha acheni unafiki na propaganda za kizushiUkisikia ule msemo unaosems "Mkuki kws Nguruwe" ndiyo unaingia hapa sasa. Lissu ni mwanafamu. Hivyo na yeye ana hisia. Sidhani kama anafurahia kuishi uhamishoni. Ila kwa sababu za kisiasa na pia usalama wake, ilimlazimu kufanya hivyo.
Mwacheni ateme nyongo yote, ili arudi kuwa binadamu wa kawaida kama sisi.
Bahati mbaya hujapitia madhira aliyopitia Tundu Lissu. Hivyo muache afanye vile anavyo ona inafaa. Mpaka muda huu, wahusika walio mshambulia wameshapatikana?Nini kinamfanya aishi uhamishoni mbona uchaguzi alirudi kugombea kama anatishiwa maisha acheni unafiki na propaganda za kizushi
Tatizo umekuwa ndumilakuwiliwi!! huna msimamo!! hueleweki uko upande gani!! hongera kwa kutumia akili yako vizuri!Wasalaam wapendwa!
Kila mara humu mtu ukisoma vizuri comments za kila mada huwezi kupita bila kukutana na neno UNAFKI. Hili neno linasemwa kulingana na sisi wenyewe tulivyo na vitabia vyetu.
Hivi Tundu Lissu kabla haijapigwa risasi akachungulia kaburi na kurudi tuwahi kusikia akiitwa msaliti na nani?
Hebu vaa viatu vyake chukulia kua wewe ni tundu Lissu,
1. Upigwe risasi 16 saa 7 mchana kweupe na mpaka leo hii wasijulikane waliotenda tukio hilo
2. Chukulia wewe ndio Tundu Lissu unyimwe gharama za matibabu yako kama mbunge bila sababu yeyote ya msingi
3. Chukulia wewe ndio Tundu Lissu mpaka leo unyimwe nafsi yako ya ubunge na stahiki ziingine
4. Chukulia hii wewe ni Tundu Lissu unaporwa ubunge wako hadharani bila sababu ya msingi
6. Chukulia wewe ndio yeye unapata matatizo watu wanazuiwa hata kukusanyika kukuombea kwa Mola upone
6. Chukulia wewe ni Tundu Lissu unaarifiwa na vyanzo vya ndani ya mfumo kama asemavyo yeye kua ilitolewa amri kua shughuli ilitakiwa imalizike mapema kisha apumzishwe haraka kijijini kwao mapema bila kuagwa, hivi kwa maneno haya upendo utoke wapi?
Tunaomwita Lissu mtumwa wa Mabeberu hebu mfikirieni na yeye kwa vyote aliyofikia nayo. Mbona hatukumwita msaliti kabla? Hivi yeye si binadamu na asinune wala kuchukua ana moyo wa chuma?
Labda tuvae viatu vya usaliti kwa nchi yake.
Wakati tunapigania madini alisimama upande wa mabeberu.
Ww tundu, viatu vyako ni vidogo sana, mtu yeyote mwenye utimamu wa akili hawezi kuviva! Maana havitamtosha hata robo! Chuki zako za kipumbafu ndio zimekufikisha hapo! Unashangilia mtetezi wa taifa lako kupatwa na umauti kweli! Ww endelea kulishwa, na kutunzwa na wanaume! Ww endelea kuacha majukumu ya kumtunza mkeo na watoto wako kwa wanaume! Mfyuuuuu!Mkuki ni mtamu kwa Nguruwe, Kwa Binadamu mchungu.
Binafsi sijaona huo ubaya wa Lisu. Yote anayosema ni ya kweli. Namshukuru alinijuza kuwa Rais wetu ni mgonjwa, na nikaja kuujuwa uhalisia wa ukweli.
Tundu Lissu alitoa ushauri mzuri namna ya kudeal na zile kesi za madini.Kwa Upuuzi wetu tukamuona msaliti.Kwa Taarifa yako vita ya madini bado mbichi na sisi ndio tutapotezaLabda tuvae viatu vya usaliti kwa nchi yake.
Wakati tunapigania madini alisimama upande wa mabeberu.
Rest easyWw tundu, viatu vyako ni vidogo sana, mtu yeyote mwenye utimamu wa akili hawezi kuviva! Maana havitamtosha hata robo! Chuki zako za kipumbafu ndio zimekufikisha hapo! Unashangilia mtetezi wa taifa lako kupatwa na umauti kweli! Ww endelea kulishwa, na kutunzwa na wanaume! Ww endelea kuacha majukumu ya kumtunza mkeo na watoto wako kwa wanaume! Mfyuuuuu!
jinga kweli wewe yani unalinganisha kubomoa hotel na uhai wa mtu?Mbona Billicanas ilivunjwa lakini Mbowe haongei ujinga ujinga kama huyo Tundu Lisu?
Lisu kafa?jinga kweli wewe yani unalinganisha kubomoa hotel na uhai wa mtu?