Magari ya Biashara
Senior Member
- Sep 16, 2019
- 183
- 578
- Thread starter
-
- #221
Hoja yako ni nini hasa...maana sikuelew...Unawekeza kwà kuweka nyumba nne kwenye plot moja yenye hati moja? It's very risks
Nafikiri hili ni wazo sahihi sana kwa mwanaume mwenzetu; kuuza nyumba usawa hu tena nyumba zinazo kuingizia pesa kama hiyo kwa mwaka ni jambo ambalo linatakiwa kua la mwisho kabisa baada ya njia zote ku failUnaweza kuziweka kama dhamana ukapata Mkopo ukaokoa Biashara zako na nyumba ukabaki nazo
Je, unajua sqm 900, ni kama hatua 35 x35, unafiki zinzakaa vipi nyumba tatu zinavyoonekana pale, toa vipimo sahihi, sio kutamka tu! Nasema tena haiwezekani eneo dogo!Mkuu hapo kwenye picha nyumba 4 zinaonekana au hazionekani?
Nani amekwambia eneo lazima liwe mraba?Je, unajua sqm 900, ni kama hatua 35 x35, unafiki zinzakaa vipi nyumba tatu zinavyoonekana pale, toa vipimo sahihi, sio kutamka tu! Nasema tena haiwezekani eneo dogo!
Unakuta mtu unabishana na nweny eneo.. Kisa umeona picha tuuu...Je, unajua sqm 900, ni kama hatua 35 x35, unafiki zinzakaa vipi nyumba tatu zinavyoonekana pale, toa vipimo sahihi, sio kutamka tu! Nasema tena haiwezekani eneo dogo!
hahahhahaNa hiyo gari nayo unauza bei gani?.
Au ndio nikinunua hizo nyumba na hiyo gari unaniongezea!
Ina maana chochote uambiwacho we sawa tu, tunahitaji kujua ukubwa wa eneo, pia uhakisi hali halisi, inapelekea kuaminika kwa anachosema, hamna mwenye akili timamu akakubali kununua vijinyumba vitatu katika eneo la sqm 900, kwa tsh150milioni , vijinyumba vya kuishi.Unakuta mtu unabishana na nweny eneo.. Kisa umeona picha tuuu...
nyumba zina privacy za watu..na ni wapangajiHazina ndani izi. nyumba
Vi picha zaidi please
ahsante kwa ushauriUsiuze biashara ya uhakika kukomboa biashara isiyo na uhakika. Unayoikomboa ingekuwa na uhakika isingehitaji ukombozi.
Huyu jamaa inaonesha ana mgogoro wa hizo nyumba aidha na ndug! Ngomaimekuwa ngumu jamaa wanakuja kuzitwaa nyumba akizembea so anazitia gengeni mapema tu!Usiuze biashara ya uhakika kukomboa biashara isiyo na uhakika. Unayoikomboa ingekuwa na uhakika isingehitaji ukombozi.
Inawezekana, Sababu yenye uafadhali kidogo au kauzito ni matibabu.Huyu jamaa inaonesha ana mgogoro wa hizo nyumba aidha na ndug! Ngomaimekuwa ngumu jamaa wanakuja kuzitwaa nyumba akizembea so anazitia gengeni mapema tu!
Yeah maradhi pia ni sababu muhimu sema angeiongeza kwenye bandiko ingekuwa ina make sense zaidiInawezekana, Sababu yenye uafadhali kidogo au kauzito ni matibabu.
Acha dhanaaa...Huyu jamaa inaonesha ana mgogoro wa hizo nyumba aidha na ndug! Ngomaimekuwa ngumu jamaa wanakuja kuzitwaa nyumba akizembea so anazitia gengeni mapema tu!
Huko sahihi sana!Usiuze biashara ya uhakika kukomboa biashara isiyo na uhakika. Unayoikomboa ingekuwa na uhakika isingehitaji ukombozi.
Kafungue Kwanza thread ujue kazi yake Ni Nini?Huyu jamaa inaonesha ana mgogoro wa hizo nyumba aidha na ndug! Ngomaimekuwa ngumu jamaa wanakuja kuzitwaa nyumba akizembea so anazitia gengeni mapema tu!