mkuu hii ni mali halali na ina doc zote za umiliki kwa anayeuza..
so ni maamuzi yake..
kuna shida, kuna kuhama,kuna kukuza biashara.. sababu ni nyingi...
HATI HALALI IPO
Huna Haja hata ya kuelezea hilo swali la kipuuzi, kila mtu na maamuzi yake m

Akisema anataka auze amuonge demu wake kuna ubaya?wenye maswali kama hayo wengi sio wanunuzi
 
Basi yaishe Mkuu

Biashara iendelee
😂😂😂
 
Kama imeshuka kutoka 160 mpaka 110 naamini itafika 40 ... Mnishtue

Niichukulie morgage chap
 
Pita kila sehemu watu wanapouza bidhaa zao uwaulize swali kama hili uone kama utabaki na meno yote
Ila siamini kwamba ni swali la kijinga.. labda muktadha wa kuuliza ndo haupo sawa.. ila bado linabaki kuwa swali la msingi..

Je kama nyumba ina mgogoro?
Je kama hakukaliki?
 
What if kama nyumba ishachukuliwa na bank imerud tena kuuzwa utashaurije
 
Ila kuna baadhi ya watu wana roho mbaya mpaka mtu unawaza hivi katika maisha ya kawaida wanaishije!!!

Mtu kaleta baishara yake auze apate ridhiki aweke cha juu asiweke havihusiani sababu ndiyo kazi yake!!

ila mtu unakosoa unadhihaki, Mungu atusaidie kwa kwei tuwe na mioyo misafi
 
Hapo ndo umekosea kupunguza bei, sisi wasukuma tunataka bei ibaki palepale au iende juu.....huwa tuna tambo zetu za kununua vitu expensive ili tuonekane hatuna pesa ya mawazo hasa tukishauza pamba.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…