Unapojibu pia jibu na hizo tents za parking. Yaani nyumba inauzwa kama inavyoonekana.
 
Nyumba ipo kibamba shule Km 2 kutoka morogoro road

Nyumba ina vyumba vitatu kimoja master

Nyumba ina sebule dinning jiko public toilet na stoo

Kwa nje kuna vyumba viwili vya wapangaji na pia kisima cha maji kipo

maji ya dawasco na umeme vyote vipo

eneo lina ukubwa wa 25 kwa 25

BEI NI MILIONI 38 TU

Mawasiliano 0677 818283



 
Aisee kumbe Kijiji chetu tukichanga elfu 10 wote tunamiliki mjengo, ngoja niongee na mwenyekiti
 
Mkuu mbona bei rahisi wakati zile za Masamaki zilikuwa kama hii ila 600M-900M?

Hamna majini kweli humo???
Mnununulie mtoto mzee baba... nasubiri bitcoin zangu hadi ifikie kwa bitcoin moja $ 100,000.. nimpe zawadi Bushmamy mjengo kama huu πŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒ
 
Dah
kuna namna yani, majumba mengi ya matajiri ya aina hio yakuwaga haunted. Unaeza shangaa tu unakula makofi usiku hulali 😁
Ndio maana mkinunua hizi nyumba mnatuita makuhani, tunakuja kuziweka wakfu kwanza πŸ˜ƒπŸ˜ƒ
 
tatizo tumeambiwa tuishi kama mashetani, hiyo nyumba kauzie malaika mkuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…